Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,015
- 4,362
Habari wanajamvi,
Nadhani sisi wanaume wa Kisukuma ndo tunaongoza kwa kupenda na kujali wanawake zetu. Hii inachagiwa hasa kwa kuwa asili ya Wasukuma ni wakarimu sana, wapole, wanyenyekevu, waungwana na tunaojua kupenda kwa dhati.
Nadhani hata kwa wale dada zetu ambao wamewahi kutoka na Wasukuma watakuwa mashahidi wa hili.
Wake wa wasukuma wanaongoza kwa kugongwa nje ya ndoa