Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

Wasukuma wapole na wasweet ni wa huko maporini huku dar wanajikuta kupita maelezo yaani msukuma wangu mbona ananikomesha nao wanajua kuwa wadada wanawapenda hayo maringo sasa ni kero
 
Habari wanajamvi,

Nadhani sisi wanaume wa Kisukuma ndo tunaongoza kwa kupenda na kujali wanawake zetu. Hii inachagiwa hasa kwa kuwa asili ya Wasukuma ni wakarimu sana, wapole, wanyenyekevu, waungwana na tunaojua kupenda kwa dhati.

Nadhani hata kwa wale dada zetu ambao wamewahi kutoka na Wasukuma watakuwa mashahidi wa hili.

Mmmm ya kweli haya mdau? basi ngoja nitafute msukuma..
 
Wasukuma wapole na wasweet ni wa huko maporini huku dar wanajikuta kupita maelezo yaani msukuma wangu mbona ananikomesha nao wanajua kuwa wadada wanawapenda hayo maringo sasa ni kero

aisee sio wasukuma wote, wengine ni matatizo tu, michepuko, utapeli, ujuaji..yaani mhhhh, nlishajitoa huko yalinishinda
 
Ndugu yangu aliolewa na msukuma wakaishi chumba kimoja. Kwa kadri yaisha yalivyowanyookea ndivyo maisha ya ndoa yalivyoharibika. Bawna yule dharau majivuno vikawa havisemeki. Akakusanya ndugu zake kibao wamekaa tu kila kazi wanaacha maana kaka ana pesa. ni malimbukeni sana akipata pesa anataka ukoo wote umtambue, hata katika mazungumzo utasikia "fulani aaah pesa hana bure tu" basi na vile wanavyokaza sauti....

Yaan wewe umemaliza na mi sukuma lang moja lilikua hivo hivo.
sifa tu kujisifia hata ujinga ptuuuuuu...
 
kuna watu wanatuita mazoba!!aaaaaaaaaaaaargggg,sio kwel we know how to handl en care a woman......nalemaga gete goyombwa sagala na bhanu bhadododoo.....kifupi tumekamilika mkubal mkatae hata pipe zetuu....wanajua dada zenu

Yaani ni kweli kabisa, mnajua kupenda, kucare, sio wakatili, pipes ziko mwaaa... ila mnachepukaje
 
wasukuma tuko vzr mkuu true love iko full.Ila kuhusu ushamba inategemea na mazingira ya msukuma mwenyewe.ikumbukwe pia wasukuma wako zaidi ya milion6 so wingi wetu unatufanya tuonekane maeneo mengi nchini.Kadharika kishule tuko vzr vichwani na pesa twazisaka kwa njia halali.Wasukuma saaaaaaafi.

Yabhulaga ng'wana omayu.. Bhakozunya
 
kuna watu wanatuita mazoba!!aaaaaaaaaaaaargggg,sio kwel we know how to handl en care a woman......nalemaga gete goyombwa sagala na bhanu bhadododoo.....kifupi tumekamilika mkubal mkatae hata pipe zetuu....wanajua dada zenu

¶¶¶Sisi ni mti wenye matunda, milele hatuogopi kupigwa mawe, ubaya wenu wengi kayumba mapenzi mnayafanya sandakarawe ¶¶¶¶
 
Yaani ni kweli kabisa, mnajua kupenda, kucare, sio wakatili, pipes ziko mwaaa... ila mnachepukaje

venine try ME......u wl regret for not hvn me ol dat yrs....no michepuko no stress kamooooooooooooooon gal
 
¶¶¶Sisi ni mti wenye matunda, milele hatuogopi kupigwa mawe, ubaya wenu wengi kayumba mapenzi mnayafanya sandakarawe ¶¶¶¶

wanajua sema wanajitoa ufahamu......sisi kama MEssi ktk mapenz kila siku awards tu
 
wanajua sema wanajitoa ufahamu......sisi kama MEssi ktk mapenz kila siku awards tu

Balozi waambie kuwa wasichanganywe na watu waliozaliwa manzese na kukulia manzese lakin baba zao na mama zao ni wasukuma... Hawa tunawaita MAKANJANJA
 
Uongo mtupu,wasukuma washamba,wasumbufu tuu kwa galfrnd zao.
 
ImageUploadedByJamiiForums1431757607.515726.jpg

Aiseee
 
Back
Top Bottom