Wanaume wa kisasa wana umama kidogo

Wanaume wa kisasa wana umama kidogo

Yaani nilitegeme Wapatikane wahusika, hili jiwe halijawapata wahusika

Bora nimeona...wanaume sisi miaka hii hata hizo nyumba ndogo tumeona tuachane nazo, badala yake uende zako kwa wamama smart sana wanaojiuza. Wanajua mipango hawatakuuliza chochote...

Tatizo limeingiliana na mzee magu kukaza, so hata kodi za vyumba na kuhonga imekuwa ngumu. Lkini umama umekuwa mwingi sana.

Mkoa wa jirani nilipata kidumu changu dogo wa bodaboda akatibua, yanai nilishangaa huduma zinayumba..nikaona hapa pamepatwa, nilizoea kila nikirudi ofsini napitia nakutana na udi wa zanz, wali mkavu wa nazi na samaki nazi nakula kiasi sishibi sana, naingia ulingoni nakula kwa kuliwa..heee baadae naona sioni hizi mambo, umbea kuingiliana..

Na mleta uzi umesahau kuvamiana vamiana himaya za watu..siku hizi mwanamke anakuzalia mtoto usijue, wako au sio, mwanamke hatulii
 
Tumuulize kwanza maana ya umama ni nini huenda katusifia
 
Mawazo yangu yameenda mbali sana aiseeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu ngoja nikae kimya kabla sija shambuliwa na wanaume wa DSM


Ongea tu, wanaume wa DSM si wanaume wa mfano....wao wanafikiri kukaa kijiweni kula chips mayai, kupiga punyeto, umbea, kucheza pool, ndiyo mwisho wa dunia.
 
Wanaume wa zamani ndo walikuwa na umama maana wamama ni wasiri ajabu. Unakuta katika watoto wake watatu wawili ni wa mchepuko na mume hatakaa agundue mpaka anakufa.
 
Lakin kwa nn wasiwe na umama wakati wamezaliwa na ao wamama,..lazima uwepo
 
Anachokisema Mwandishi kina ukweli ndani Yale lakini sio kwenye zama hizi,huo mchepuko utakaoruhusu upokee cm ya mkeo uko wp?labda mikoani hko...
 
Kabisa yaani mtoto mzuri mwenzangu hii ni kweli tuupu. [emoji23] [emoji23]

Kuna nyingine kule nimekutag ila hujafika. Yaani wanalo aisee
Nakuja hukooo nisubiri [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom