GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,167
- 6,958
Kiha ni lugha inayozungumzwa na wananchi wa wilaya zote za mkoa wa Kigoma. Waha ni watu wasiopenda sana kuongea lugha yao pamoja na kwamba lugha hii ya kibantu pamoja na Kirundi na Kinyarwanda kwa pamoja zinashika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi ya wazungumzaji baada ya Kiswahili.
Kwa wale wanaodhani kwamba Kiha Kirundi na Kinyarwanda ni lugha zinazofanana, Naweka hapa kitabu cha "Grammar" ya Kiha ili watu wajifunze na kuweza kutofautisha kati ya Kiha Kirundi na Kinyarwanda.
Kwa wale wanaodhani kwamba Kiha Kirundi na Kinyarwanda ni lugha zinazofanana, Naweka hapa kitabu cha "Grammar" ya Kiha ili watu wajifunze na kuweza kutofautisha kati ya Kiha Kirundi na Kinyarwanda.