Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,165
Page ya kwanza hivi nimekubaliana na wewe?
Nilidhani mmasai, ningekuambia kitu.
Niambie tuu. Niko tayari kubadilisha kabila.
Lizzy this is insult, sijajuwa bado mnawaongelea watu wa vijijini au lah, wengine sisi kazi ngumu kwetu ni kushika glass ya Wisky tu, huyo unayemsapoti asifananishe kabila lingine na Wazaramo ambao vijijini kwao Wanaume asubuhi wanaamkia kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao siku nzima.BT kama ulikuwepo vile. . .
Alafu bado utakuta nao wanajiita kichwa cha familia, wakati utendaji wao sawa na wa mkia!!!
Hao aisee. . . niseme tu SIWAHESHIMU.Lizzy kwani wale wanawake wanaokwenda sokoni mijini huku waume wao wakishindia kwa mama ntilie mchana na jioni kupitia moja moto moja baridi na kurudi nyumbani kwa chakula cha usiku nao wanakosa sifa ya ujanadume?
Lizzy this is insult, sijajuwa bado mnawaongelea watu wa vijijini au lah, wengine sisi kazi ngumu kwetu ni kushika glass ya Wisky tu, huyo unayemsapoti asifananishe kabila lingine na Wazaramo ambao vijijini kwao Wanaume asubuhi wanaamkia kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao siku nzima.
Mkitaka kuyaongea kijumla jumla tu na kutukosea adabu basi hata hapa mjini kuna Wanawake the whole wiki ni ratiba za kwenda ngomani/kitchen party/begi party/ mara rafiki yangu amefiwa na shangazi yake na shemeji yake, mara kuna sare za shughuli ya shughuli ya binti wa mjukuu wa mzee Kundugeni n:k. na ikumbukwe hapa Mwanaume ndiye anaecover all expenses, bado wauza uzuri hawajapita ni mikapu yao iliyojaa micheni ya bati na rangi ya dhahabu na mafuta ya kusafishia bunduki, hapo usipokuwa makini Watoto wako ni lazima wawe na utapiamlo maana bajeti ya chakula unayoacha nyumbani inamegwa kugharamia ujinga huu.
Hapa kikubwa nimejaribu kuweka sawa kwamba Mwanaume ni Mwanaume na weakness za baadhi ya watu na makabila yao hizo ni zao na haziwezi kuleta conclusion ya jumla jumla, huu mfumo jike mnaoupigia debe haukubaliki kamwe maana ni kuhoji uumbaji wa mungu kwamba mmoja atakojoa kwa kuchuchumaa na mwingine atakojoa kwa kusimama.
Wana option ya Mafiga matatu. unayajuwa weye haya? siongelei yale ya JK.Hao aisee. . . niseme tu SIWAHESHIMU.
Matola Kwasababu hamna niliposema wote sioni sababu ya wewe kuwa insulted. . .unless na wewe ndio zako.
Hayo ya wake zenu mnayaendekeza wenyewe kwahiyo hata msilalamike. Kwani mkiwanyima pesa za kwenda kuchangia kwenye hayo masherehe na kununua dhahabu feki wataiba?
Kwanza usiendelee kuniudhi kuna pm yangu ina wiki kujibu ujaijibu au kuna flood of pm kwenye inbox yako?Sindo aina ya wanawake mnaochagua. . .nani alaumiwe?
Ukichagua kuoa shangingi tegemea maisha ya kishangingi na wala usilalamike.
Kwanza tumalizane na hili, we ukichagua shangingi unakuwa unategemea nini kama sio kumalizia pesa ya matumizi kwenye wax na dhahabu za kuchovya?Kwanza usiendelee kuniudhi kuna pm yangu ina wiki kujibu ujaijibu au kuna flood of pm kwenye inbox yako?
Nakubaliana na ukweli kwamba kila kabila lilikuwa na mila zake na mgawanyo wa kazi kadri ya kabila hilo lilivyokuwa.Sisi tusio na mila inakuwaje? Mke analala tu na kusogoa anategemea mme ndo azalishe na kumsaidia?
Ndahani hapo sasa ndipo utaratibu wa kifamilia unapokuja. Kwani kukiwa hamna mila inayosema mama afanye hivi na baba vile ndio muishi maisha ya ilimradi? Kaeni chini mtengeneze utaratibu wenu binafsi.
Hhahaaa. . .Lizzy,utaratibu wa zamani ulikuwa unakubalika sababu ilikuwa ukimuudhi baba anawachapa wote fimbo. Na nyinyi wa Dot Com mnakubaliana na agenda hiyo? You are more empowered than our mothers back then...na mkiamua mnaweza...na mkiwezeshwa pia mnaweza...ila mkiamua pia mnaweza kabisa kuwa watazamaji na kusukuma kina baba kufanya kila no matter how many meetings people do.
Lizzy.........it is just divison of labour........................kazi ya kukuzalisha unafikiria ni mchezo? Mwanaumme hutumia nguvu nyingi sana na ukimfanyisha hayo makazi jiandae kuwa mjane baada ya miaka michache hivi. Ukitaka kujua undani wa mgawanyo wa madaraka angalia kundi la simba................Jike ndiye anayewinda na kulisha familia...kidume yeye ni kusubiria mawindo yakija kuwa wa kwanza kula na kujilalia ........jukumu lake ni ulinzi na kumzalisha mama mwenye nyumba...............hizo kazi siyo utani hasa hiyo ya kumpanda mama mwenye nyumba.....................learn from these animals and you will be wise.........
Lizzy.........it is just divison of labour........................kazi ya kukuzalisha unafikiria ni mchezo? Mwanaumme hutumia nguvu nyingi sana na ukimfanyisha hayo makazi jiandae kuwa mjane baada ya miaka michache hivi. Ukitaka kujua undani wa mgawanyo wa madaraka angalia kundi la simba................Jike ndiye anayewinda na kulisha familia...kidume yeye ni kusubiria mawindo yakija kuwa wa kwanza kula na kujilalia ........jukumu lake ni ulinzi na kumzalisha mama mwenye nyumba...............hizo kazi siyo utani hasa hiyo ya kumpanda mama mwenye nyumba.....................learn from these animals and you will be wise.........