Vipi ushafika hapo sinza kuuza au bado unajipodoa?Wewe nawe ni kahaba kama walivyo makahaba wa siza mori, ni kwanini usubiri akumalizie nyumba yako ndio umuache.
Endelea kuiumiza k yako kwa sababu akili hauna
Wamejipanikisha tu, sikuwahi kumwomba pesa tangu nimeanza nae mahusiano. Nyumba ninayojenga hajawahi kuchangia hata msumari. Sikutaka tu kumhusisha maana nilijua kabisa sina future nae hivyo sikutaka kujiongezea dhambi.Mbona hajasema Kama anajengewa?
Dah!me sijalewa mkuu wangu maana yakuotkuchangamka yaani akikouna hafurahii au hakuongeleshi au inakuwaje yaani ungeweka mfano kitukio kigog ambacho kina onesha kutokuchanagamka kake maybe tungeelewa wengi hivi hivi ni basi...halafu kwanini unasubiri mpaka umalize nyumba yako ndo umuache kwanini sasa hivi usimuache?
Sasa si ungesema kama ndio sababu inayokufanya uone hafai kukuoa. Kwanini uliacha kulisema hili sikuileHabari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats allπ€π€
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
utakuwa umeunga dots na uzi ule πππsijui kwa nini nimejikuta nacheka kwa nguvu
Hahaaaa, chuma umenichekesha mno, eti stroketumepooza hiyoo stroke umetupa wewe?
Upo uzi humu ulikuwa unawazungumzia wanaume wa pwani. Sifa zetu tupewe jamani, wanawake wanahitaji kubembelezwa na kuenziwa. Mwanamke ni mtu muhimu sana kwa ustawi Bora wa mwanamme.Itakuwa wanaume wa pwani waliwahi kumchukulia mwanamke, ana hasira nao sana.
Ki ukweli mshkaji amezingua ila yote sawa tu .Msamehe tu mkuu, sijui amevurugwa na nini. Itakuwa ni wale wachaga wasio jua mapenzi na pesa pia hawana. Hivyo anaumia kukosa vyote.
Wanaume wa Pwani ni watu wema kabisa, hawana shida na mtu. Kwanamna ulivyomjibu unathibitisha hilo.
Hivi kuna kuunga dot hapa wakati mambo yako waziutakuwa umeunga dots na uzi ule
Wana tabu sana wanawake wa kiafrika. Mwanamke anapopendwa haoni huwa anapenda anapoteswa teswa hivi. Yani mwanaume awe na mapozi pozi hivi ndio mwanamke hapindui hapo.πππyaani hajachanga mka kivipi? ukute jamaa ni gentlemen na nice guy wanawake huwa hawawapendi wanaume wa namna hii...njia ya nzuri ya kuwa na mwanamke act, be rough, **** her good, give her money she will be your slave
Raha ya mwanaume awe jeuri jeuri walau kidogoWana tabu sana wanawake wa kiafrika. Mwanamke anapopendwa haoni huwa anapenda anapoteswa teswa hivi. Yani mwanaume awe na mapozi pozi hivi ndio mwanamke hapindui hapo.