Wanaume wa kichaga

Acha kuigiza maisha ww, sehem uliyopo kuna watu wanaitaka chomoka uone
 
Kweli kabisa mkuu
Msaada wa wakuu

TECNO K7
LINE YA VODA IMEKATAA KUTOA CMU INAPOKEA TU UKIPIGA INAANDIKA ACT LIMIT EXCEED
Mwaka 1998 (baada ya shamvulio la bomu) wa Marekani walikuwa wanashangaa vituo vikuu vya polisi havina hata mashine ya kudurusu nyaraka (photocopier). Miaka 21 baadae hatuna tofauti sana na mwaka 1998.
 
Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k

Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine
,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
 
Huyo usimuache bali njoo pm tuyajenge uwe na mimi niwe kidumu chako yy mwache awe bize na hera mimi nitakuwa bize na ww na nakuhakikishia hutajuta kamwe

Pesa zake tutazitumia kufanya matanuzi, maisha yenyewe mafupi kwann usijipe raha mwenyewe.
 
Kweli mnawachuna hadi nyumba unajenga¡!!??
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
 
Kupanik huku kunaonyesha wote mtakuwa hivyo.

Kwani wanaume wa pwani wamekukosea nini hadi uwatusi hivyo? Mbona hawana shida na mtu kabisa.
Kupanga ni kuchagua wao wamechagua mali sisi tumechagua mapenzi kozi mapenzi kwanza mali baadae.. Njoo kwangu uenjoy maisha uanaishi kama uko peponi no majuto ni raha tu mwanzo mwisho kazi yangu ni kula mbegu za maboga, karanga, pweza na tizi
 
Tatzo umezoea mapenzi yafujo sasa ustarbu unakushinda na kama hujawai mwambie utaambulia manyoya mapenzi kuambia sio kujitangazia mitandaon mwambie uone kama ajabadilika usiwasmange unakutanaga na malimbuken
 
Pole sana hujamaliza kujenga tu ukaondoka? Ila wanaume wengine wanaboa kweli kama hujaolewa ni
bora ukafanya maamuzi mapema sio unaolewa kisha unaqnza unaanza kudanga nje pole tena
 
Huyo usimuache bali njoo pm tuyajenge uwe na mimi niwe kidumu chako yy mwache awe bize na hera mimi nitakuwa bize na ww na nakuhakikishia hutajuta kamwe

Pesa zake tutazitumia kufanya matanuzi, maisha yenyewe mafupi kwann usijipe raha mwenyewe.
hata kina manka ndivyo walivyo wenyewe kazi ni kuchuna tu pesa anaweza singizia
hata mtoto kumbe anataka mfereji tu wa pesa
 
ww utakuwa uliwahi kupita umalaya
 
Ushapata ulichokufata kweri kweri..
 
Hebu pata mda ujiulize ni kwanini wewe hakufanyii yote unayoyataka? Kuna mwenzako anataka ahamie kwake kabisa kabisa. Probably wewe ni chanzo.
 
Let me tell u something friend... Kumwacha sio solution ya tatizo lako unaeza uende uendako ukakumbuka ulikotoka ...in short no ones perfect ....kila MTU ana weakness zake ...so tell him what u like an what u dislike.... Anaweza kua mtu unaemteka brand your own ...that's all
 
Kingine n kwamba mpaka unaingia nae relation nadhan ulikua unajua n mtu wa aina gan unaenda kua nae ...so sioni sababu ya Ku_blame ...

Mwambieee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…