Wanaume wa kichaga

I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
NAMFIKISHIA MWENYEKITI WA WACHAGA MKOA....ATOE TAADHARI
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa nguvu umenifanya hadi na mimi niende kugoogle imeniletea chick upande ndo nimezidi kucheka haki ya nani umeniua mbavu
Huwa inanipa majibu ya uongo wakati mwingine.
Mfano side chick wanasema ni vifaranga vya pembeni[emoji50][emoji50]
 
Salute
 
Basi Tunatofautiana, Mi Wa Aina Yako Ndio Ugonjwa Wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa nguvu umenifanya hadi na mimi niende kugoogle imeniletea chick upande ndo nimezidi kucheka haki ya nani umeniua mbavu
Eti chick upande[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukitumia gugo kutafsiri utakufa kwa vicheko [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…