Wanaume wa kichaga

Not my cup of coffee.
 
I know what i want, nyie mlokata tamaa chagueni tu. Its a free world.
 
"Wanaume wote" is such a strong word. Sikulaumu kukata tamaa maybe haujalelewa kwenye familia yenye both, na yawezekana pia haukuwahi kupendwa hivyo ukaamua ujikatie tamaa na kuconclude hivyo.
 
Mwache akajifunze, hao ndio wanawake ambao hawana priorities in life. Angekuwa nazo angestick na mtu mmoja ambae anaeleweka tu very early, anaonekana mtu wa kujaribu jaribu mahusiano.
We wa kustik na unayejua unachotaka inawezekana uko na mmoja tu uloanza nae au umeoa huyohuyo uloanza nae.

Ila i doubt that maana comments zako zina machungu sana, pole lakini. Thats life.
 
Pesa na malovee kidogo
Ila unaweza kua na mwanaume asiejua kutafuta kisa tu ni type ya mwanaume umtakae?
Did i say that?

I dont want a looser either.
 
Tatizo ameshaonja kila kona unategemeaje mtu kama huyu kufarahia au kulizika na mahusiano yake...wanawake wajuaji huwa wana tabu sana...na siku ya mwisho upoteza kila kitu
Dua la kuku, ila kumbuka hata wanawake wenu kule Rombo walihamia Kenya kupata huduma. Sasa sijui kwanini mnashupaza shingo.
 
Kwa maelezo yake tuu ndoivo yani. Mara nyumba iishe mara nini..maslahi mbele.
Kwa maana kwamba akimuacha mapema cost za kodi na mambo mengine yatamlemea mleta mada mwenyewe.. poor chagga brother.
Yo think you know🤷
 
Punguza maneno mengi mama. Yaani kwa kifupi mwambie aache Umalaya.
 
Well uliquote kwa akina manka kama yo base of arguement. Kuonja muhimu ili kujua kama yaliyomo yamo, kuliko ukija kusikia mambo ya kileleni unaanza kutoa macho kumbe ni mambo ya kawaida tu.
Wachangamsheni kaka zenu bwana sio mnahamia Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…