katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,758
Humu hii mikitu nimeichoka kabisa sasa hivi nakaa kimya jiulize umefanya nini zaidi yakuomba ushauri.Kumbe nimempati, ananionea wivu kwavile ni mwanamke anafikiri nimemchukulia soko lake?
Apite kuleeee sinaga shobo nao kabisa.
Sure thingYeah, Will check You Bro
Sasa sijui pwani Ipi yule maana kila pwani yupoWako wa pwani ipi??? Watamsaidia wa pwani halisi
Hahaha ila usisahau ambao hawataki hilo maana wanamuona kidume ni kama boya akifanya hayo hasa chugan girls.Lakini majority wana fall hapo kwenye Kuhitaji
Romanticism, utasikia the way he holds me it feels safe and protected
Yaani wengi wao wanapenda ukachumbari kachumbari
Sie wa pwani ndio tunapenda kudekezwa, kuambiwa hata vya uongo, yaani ilimradi tu tujione watu hahahahhahahaHahaha ila usisahau ambao hawataki hilo maana wanamuona kidume ni kama boya akifanya hayo hasa chugan girls.
Watoto wa pwani ndio wanapenda zaidi hizo hanky panky biz
Eewaaaa! Kudekezwa ni raha sana jamani hata mie napenda manzi tudekezane. Penzi liwe na vionjo vya kitoto flani hapo full burudani yani😂😂😂Sie wa pwani ndio tunapenda kudekezwa, kuambiwa hata vya uongo, yaani ilimradi tu tujione watu hahahahhahaha
Unaona sasa... Utani mwingi kukimbizana... Hehehehe kwakweli wanaume wenye wapo kibabe tuko nao tu tufanyajeEewaaaa! Kudekezwa ni raha sana jamani hata mie napenda manzi tudekezane. Penzi liwe na vionjo vya kitoto flani hapo full burudani yani
SIO HASIRA BIBIE ULITAKA JAMAA AFANYAJE YAN FORMULA SI ILEILE PUMP PUMP STOP PUMP STOP AU ULITAKA ARUKE KICHURACHURA KWENYE K MIXA MSAMBA SI UNAONA NCHI YENYEWE HIHII SASA HIV MAZAGAZAKumbe hizi ni hasira za kuuzungumza ukweli? Basi shukeni tu, ila mwende Pwani mkapewe jando kidogo.
Akufurahishe vp sasa??Pesa kwangu sio tatizo maana hata mimi najua kuzitafuta, nahitaji mwanaume wa kufurahi nikiwa nae.
Unanielewa eeh? Ahsante sanaMimi ninakuelewa, sijui kwavile mwanamke mwenzio?
You are rightI am sure you didnt mean what I understood
kwenye picha hapo ni wewe? mimi ni mwanaume wa kibena, nipo romantic kweli kweli, pia mtafutaji kama weweHahahaaaa umenichekesha sana.
Utoto upi hapo??Utoto bwana.