Wanaume wa kichaga

Fix hizo, mabaharia tushaelewa kali!
Wewe si ndiye unayelalamika,muache basi kwanini unamng'ang'ania huku unamsema pembeni?? Eti mpaka umalize ujenzi,wakati hatoi hata senti ya ujenzi....unasubiri nini sasa??
 
Embu muulize mchepuko wake ni nini hufanya ku-spice mambo na meku wako.

Naonaga wanasema laiti Simba nae angeongea hizi simulizi za wawindaji mahiri zingehaririwa upya.
 
Wewe si ndiye unayelalamika,muache basi kwanini unamng'ang'ania huku unamsema pembeni?? Eti mpaka umalize ujenzi,wakati hatoi hata senti ya ujenzi....unasubiri nini sasa??
Well i dont need to explain my self to you. Just do you.
 
Yaani hapa kuwa romantic nafikiri vinazungumziwa vitu mbali mbali

Kumbeba beba ukiwa unampeleka bafuni

Hug za nguvu unapopata nafasi

Maneno matamu ikiwepo sifa sifa kibao

Vizawadi zawadi vya hapa na pale, outing mbili tatu katika mwezi

Love languages muhimu sana

Nb; Tanzania ya viwanda
 
Ha ha ha eti Vishoia..
 
Halafu majibu yenyewe ya kitoto sana, kwa umri wako ungetafuta tu mwanaume wa kukuoa, si kutafuta soko kama hivi mtandaoni tena JF bora ungeenda huko facebook.
Kwa majibu yako ya kitoto, najua jinsi utakavyojibu
Vipi huko facebook ushauza sana eeh hadi unalijua soko lake? Naona sasa umeamua kuuza jf, kwa majibu yako ya kichoko najua tu utajibu nini.
 
Embu muulize mchepuko wake ni nini hufanya ku-spice mambo na meku wako.
Naonaga wanasema laiti Simba nae angeongea hizi simulizi za wawindaji mahiri zingehaririwa upya.
Huyu kama ana mchepuko basi kazi ipo, natamani hata nimjue ili nipatiepo sababu.
 
Ubaya ni kuwa licha ya kufanya yote unaweza ukaonekana kolo tu
 
Well viwanda tunajenga na mapenzi yanachukua nafasi yake.
 
Kasema nyumba yake, kwani ni lazima awe anajengewa yeye hana huo uwezo?
Wako brain washed hao, wanafikiri kila mwanamke lazima afanyiwe kila kitu na mwanaume. Nyumba kitu gani mbona mambo madogo tu hayo. Kama wao wanaweza why sisi tusiweze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…