Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

X GIRL FRIEND

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
69
Reaction score
21
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas
 
mhh h naguna kidogo maana hoja yako ni nzito.
hivi karibuni nimeshindwa kufahamu kama kuna watu hasa mijini bado wana hulka za makabila ukiacha majina tu.
hivi mtoto wa kichaga he/she amezaliwa mji tofauti na kwa bahati mbaya anapata kwenda bush kila baada ya miaka 5-7 akiwa mkubwa utamwita mwanaume/mwanamke wa kichaga.anajua nini huko?

katika mapenzi kujua au kutojua ni relevant na mpendwaji mwenyewe hivyo kwa akili yangu nadhani kuwa hakuna kabila ingeneral ambalo watu wake wanajua kupenda au hawajui kiujumla.ina tegemea umekutana naye kivipi?anakuchukuliaje au hakupendi wewe siyo kwamba hajui kupenda.
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

hivi tulivyochanganyika hivyo bado makabila yana nafasi kwenye lolote lile?
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

Am sure you deserve each other...............
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best
hureee mis you babu.
umeona eeeh
 
Here comes another PUMBA EXPRESS.

Achana na kaka, baba,wajomba, wadogo au WANAUME WETU kwa lugha nyingine. Kama akili yako inawaza ngono 24/7 tafuta wenzako (I guess hiyo yaweza kua sifa ya kabila lenu) mngonoke mpaka mchakazane miili. We Chagga ladies and lads have better things to worry ourselves with.
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best

Babu embu niruhusu nimlabue mtu. . . Smiley utanisaidia.
 
Here comes another CRAP EXPRESS.

Achana na kaka, baba,wajomba, wadogo au WANAUME WETU kwa lugha nyingine. Kama akili yako inawaza ngono 24/7 tafuta wenzako (I guess hiyo yaweza kua sifa ya kabila lenu) mngonoke mpaka mchakazane miili. We Chagga ladies and lads have better things to worry ourselves with.
taratibu lizzy watu wanangonoka na mimba ya miezi tisa hadi anaenda leba unategemea azae nini mamii?achana nao
 
huyu atakuwa kaanza hiyo kitu toka mchanga sasa ngozi ya .....imekufa ganzi kakutana na bwashee anataka kumaliza hamu arudi kusaka heshima(mshiko) anaanza kulalamika.

akatafute mhaya.
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best
Aseeee..........yani nasare washakuwa mashimo ya panya buku!!
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best

babu unajisikiaje na hali?
 
kwani mapenzi ni nini?
kungonoka?
au yanaanzia jinsi mnavyoongea, mnavyo-care, michezo ya kimahaba, kuspend pamoja nk

ila mmewaandama wanawake wakichaga weeee mmechoka sasa mmeanza na wanaume wa kichaga

this is boaring kwa kweli
 
Wewe x girlfriend wa mchaga au? Wewe umewafanyia utafiti wanaume wangap wa kichaga? Kama alivyosema mdau kabla kuna watu ambao wamezoea kungonoka hivyo wamepitiliza kias kwamba kwao siku ikipita bila hiyo kitu ni tabu. Sex ni sehemu ndogo tu ya mapenzi. Sijwahi kumsikia mke wangu akilalamika ht siku moja kwmb simpi kitu anachotaka na kwa bahati nzuri yeye hata sio mchaga na antokea kwenye makabila yanayoaminika ni wataalamu wa kungonoka
 
duu kuna watu sijui wakiamka asubuhi huwa wanawaza nini???
 
Back
Top Bottom