Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Yaaani alikutana na mpigaji ..mtoto wa mjini haswaa ...

Mimi nimeshawahi ku experience hali kama yake ...ila kwa upande wangu nina baadhi ya marafiki wenye tabia mbovu kama hiyo ... yaani nilikuwa napata shida sana kukaa nao " Asikuambie mtu duniani moja ya vitu vigumu ni pale unapo kuwa umezoea kuwa mstaarabu halafu uje kuishi na watu/mazingira ambayo hayana busara. Utu na ustaarabu. Huwa ni kazi kubwa mnoo ....Yaani utapata shida kubwa sana ...uswahili ni mbaya
Acha kabisa yani hii experience yangu acha kabisa,alafu mimi ni mstarabu vitu vingine nilikuwa naona kama aibu.

Siku moja tumeenda mgahawani wa jirani na ofisi zetu tumekaa tunapiga stori kama masaa mawili watu wanakula wanatoka wanakula wanatoka dah hata kuita mhudumu aagize kinywaji hakuna, nikaona aibu nikaita mhudumu nikaagiza chakula mara naye akaagiza, mara akaagiza na soda dah kahela kangu kanazidi kuisha
Muda wa kulipa akaja mdada kudai coz mimi ndo niliyewaita nikatoa elfu kumi nikashangaa inarudi elfu tano mia tano ikawekwa mezani.
Tupotupo hapo mara akaita vocha ya jero dukani ile jero ilioko mezani ikaenda, tunaendelea kuongea anachezea chezea ile elfu buku tano ilobaki ghafla bin vu iko mfukoni akanibeba na boda hadi saluni mana nilikua naelekea saluni kumbuka ile buku kumi ndo ilikuwa kwenye bajeti ya kurepea nywele basi akanidrop nikasahau kudai ile elfu tano namaliza kutengenezwa ndo nakumbuka change kaondoka nayo nikachukua hela ingine nikalipa, basi buana nikamwambia ile hela nilisahau nipitishie badae akasema sawa h, uwezi amini hadi leo
 
pole zako, pia ni rahisi sana kuwatambua watu wasio na tabia/hulka zako.....ila ndio watakuona kama una ringa au una majivuno....
bora rafiki yangu wa kike anipige kizinga kuliko wa kiume kwa kweli....
 
jamani kuna watu wanavituko.....
Daby kumbe kuna walio kuzidi vituko eehh...
 
Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukishangaa ya musa utayaona ya firauni
Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini

Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani na ofisi nayofanyia yeye alikuwa ni mfanyabiashara.

Basi tulizoeana na mwisho akaniapproach na tukajikuta tumeanza mahusiano.

Aliniambia anakoishi kuwa amejenga na anaishi na wadogo zake wawili mmoja ke mwingine me

Na hao wote nilifanikiwa kuwaona hapo kwenye biashara yake.
Basi nami nilimweleza napoishi hivyo, basi week ya kwanza tu akawa anatamani sana tuonane faragha, alipogusia hilo tu nilimpa msimamo wangu kuwa siwezi kufanya hicho kitu kabisa mpaka hapo tutakapokuwa na ndoa kama kweli anamanisha.

Basi, alikubali, muda ukaenda kwa kuwa aliniambia kajenga nikaona kama ni mpenzi wangu ni muhimu angalau kufahamu anapoishi, nilipomgusia suala la kwenda kwake aligoma kabisa akasema haitaleta picha nzuri mimi kwenda pale na wadogo zake wakiwepo, nikawa sielewi mwanaume wa 30+ anaofiaje wadogo zake?

Kuna mambo mengi nikawa nashangaa kuna siku akaniambia jiandae weekend hii tutaenda garden flan ambayo ni sehemu tulivu tunaweza kuongea mipango yetu na kubadilishana mawazo, nikakubali weekend nikajiandaa akaja na boda amepakiwa akasema panda (mshikaki) nikatamani kugoma ila nikavumilia boda akaanza kutembea nikashangaa nimeshushwa nyumba ya udongo yenye pazia la kanga nikahisi labda kuna ishu anafata nikamuliza hapa ndo rose garden? Akasema hapa ni kwa John(kijana wake wa dukani) kuna kitu nataka tuchukue then tuendoke, nikasema poa chukua twende, akasema ingia upaone nikagoma, (kumbe alishakodi geto ya huyo dogo ili apige mambo )lakini akashindwa kuniambia akanidanganya so hapo nikiingia tu story inabadilika

Nikamwambia ingia ngoja nifike dukani nichukue maji ya kunywa na pipi nakuja akasema poa, nilichukua boda boda nikamwambia akimbize anirudishe home.

Kesho yake akaanza kuomba misamaha mingi sana, nikamsamehe
Maajabu mengine nikifika dukani kwake anasema una elfu tano hapo hebu mara moja, ndo inaondoka mazima
Naenda dukani kwake nakaa anasema hebu mkoba wako anaatafuta hela akipata buku anaangiza soda nikiuliza anasema nitakulipa
Basi tabia hizo zikaendelea, kuna siku akaenda dsm kufata mzigo akiwa huko akapiga simu yuko moto flani naomba nisaidie laki mbili nikija nitakurefund kuna bidhaa zimeongezeka, dah nikaona ni mtu wangu nimsaidie dakika hiyo hiyo nikamrushia aliporudi alikaa zaidi ya week mbili hadi nikawa mkali ndo akaanza kunilipa tena kidogo kidogo

Siku moja nikawa nadaiwa hela flani na fundi sasa nikapelewa na 30k nikampigia nisaidie 30k by tomorrow nitakurejeshea akasema hana, je jioni ukishauza akasema hana dah niliumia sana

Ikaisha kama week zilikuwa tareh za mshahara nashanga naitwa beby, honey mke wangu mzuri, a kasema kuna jambo anataka tuongee basi tukakutana mKe wangu unajua nina malengo makubwa sana na wewe sasa week ijayo naenda karikoo ila hela yangu imepelea najua mshahara tayari umetoka naomba laki tano nikija niuze uze na wewe utaenda kuchukua mzigo nikirudi, nikamwambia siwezi kabisa kumkopesha Mana na mimi nitaenda kufata mzigo kariakoo siku si nyingi nikamnyima.

Kufupisha stori nilipigwa mizinga ya bila kujishtukiza hadi najicheka hizi elfu zangu, elfu mbili, elfu tano dah, nilipokuja kushtuka tuna miezi miwili ya mahusiano ila nishakopwa hadi sijielewi nikamwambia imetosha, umekuja kwangu kunichuma sasa imetosha.

Baadhi ya wanaume wenye hizi tabia mjirekebishe, raha ya mwanaume hugharamikie si ugharamikiwe

Muwe mnatofautisha wanaume, wavulana na vitoto vya kiume. Unakutana na kitoto cha kiume au kivulana halafu wewe unaona umekutana na mwanaume!!??!!
 
Acha kabisa yani hii experience yangu acha kabisa,alafu mimi ni mstarabu vitu vingine nilikuwa naona kama aibu.

Siku moja tumeenda mgahawani wa jirani na ofisi zetu tumekaa tunapiga stori kama masaa mawili watu wanakula wanatoka wanakula wanatoka dah hata kuita mhudumu aagize kinywaji hakuna, nikaona aibu nikaita mhudumu nikaagiza chakula mara naye akaagiza, mara akaagiza na soda dah kahela kangu kanazidi kuisha
Muda wa kulipa akaja mdada kudai coz mimi ndo niliyewaita nikatoa elfu kumi nikashangaa inarudi elfu tano mia tano ikawekwa mezani.
Tupotupo hapo mara akaita vocha ya jero dukani ile jero ilioko mezani ikaenda, tunaendelea kuongea anachezea chezea ile elfu buku tano ilobaki ghafla bin vu iko mfukoni akanibeba na boda hadi saluni mana nilikua naelekea saluni kumbuka ile buku kumi ndo ilikuwa kwenye bajeti ya kurepea nywele basi akanidrop nikasahau kudai ile elfu tano namaliza kutengenezwa ndo nakumbuka change kaondoka nayo nikachukua hela ingine nikalipa, basi buana nikamwambia ile hela nilisahau nipitishie badae akasema sawa h, uwezi amini hadi leo
embu ngoja jamaa duka lilikua lake au muajiria maana aliona ameshapata mahali pa kuponea
 
Hahaa pole mwaya ... Yaani katika mambo ambayo yamenishinda mpaka leo hii nikumuomba mwanamke pesa yake .. ili nimatumie tu kwenye matumizi yangu

Kitu ambacho huwa walau naweza kufanya nikumshirikisha mwanamke --, katika mipango chanya yaweza kuwa ya kibiashara ili kama anajimudu basi mimi niweke hela na yeye aweke hela ili tufanye project ambayo inaweza kuchangia kutuongezea kipato na hatimae tukazidi kupaa kiuchumi ....
 
pole zako, pia ni rahisi sana kuwatambua watu wasio na tabia/hulka zako.....ila ndio watakuona kama una ringa au una majivuno....
bora rafiki yangu wa kike anipige kizinga kuliko wa kiume kwa kweli....
Yeah nikweli ..-- huwa wanakimbilia kwenye kukuona kuwa unaringa. Haswaa kama jinsi mimi nilivyo ndio kabisaaa kwa sababu kiasili mimi sio muongeaji sana ...hatua ya kuongea sana na mtu/watu huwa inajitokeza mpaka pale nitakapo kuwa nimezoeana nao sana . Sijui kwanini nipo hivi nilijaribu kuishinda hii hali but nimeshindwa
 
Ulitaka nifanyeje na hali we mwenyewe mzinguaji,et kuiona pa puchi hadi ndoa! mbona aliyekutoa bikra hukumdai hiyo ndoa.

Hivyo vi mia mbili vyako vilikuuma kumbe,basi vifate kwa yule kijana mwenye geto la udongo atakupatia nilimwachia maagizo [emoji23][emoji23]
Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni

Back
Top Bottom