Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wengi saiv wamekuwa wadangaji nao wanatafuta wanawake wenye kazi na kuwa nao ili kuwachuna be care aisee watu wanalia uku mitaani unaweza fikiri atakuowa kumbe hola
 
Alikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe

Hahaha, anaomba hadi matofaliii!!!? Hahaha
 
Acha kabisa yani hii experience yangu acha kabisa,alafu mimi ni mstarabu vitu vingine nilikuwa naona kama aibu.

Siku moja tumeenda mgahawani wa jirani na ofisi zetu tumekaa tunapiga stori kama masaa mawili watu wanakula wanatoka wanakula wanatoka dah hata kuita mhudumu aagize kinywaji hakuna, nikaona aibu nikaita mhudumu nikaagiza chakula mara naye akaagiza, mara akaagiza na soda dah kahela kangu kanazidi kuisha
Muda wa kulipa akaja mdada kudai coz mimi ndo niliyewaita nikatoa elfu kumi nikashangaa inarudi elfu tano mia tano ikawekwa mezani.
Tupotupo hapo mara akaita vocha ya jero dukani ile jero ilioko mezani ikaenda, tunaendelea kuongea anachezea chezea ile elfu buku tano ilobaki ghafla bin vu iko mfukoni akanibeba na boda hadi saluni mana nilikua naelekea saluni kumbuka ile buku kumi ndo ilikuwa kwenye bajeti ya kurepea nywele basi akanidrop nikasahau kudai ile elfu tano namaliza kutengenezwa ndo nakumbuka change kaondoka nayo nikachukua hela ingine nikalipa, basi buana nikamwambia ile hela nilisahau nipitishie badae akasema sawa h, uwezi amini hadi leo

Hahahah, dada yangu kwanini usiandike script maana hii ni comedy kabisa. Najaribu waza alivyokuwa anaichezea hiyo buku 5 [emoji23][emoji23]
 
Uongoooo. ni story ya kutunga. Vinginevyo ninyi wote mnaishi huko Dodoma vijijini ambako ndo kuna nyumba za udongo..
Nahisi wewe ni wageni toka dar mliohamia dom, kila mtaa/kata ya dodoma ina nyumba ya udongo

Kisasa zimejaa, ipagala zimejaa, makole ndo zipo nyingi, changombe, sijui maili mbili, swaswa, ilazo, kikuyu mpaka mjini katikati nyumba za udongo zipo. Dodoma huijui sisi wageni wz zamani tuulize tukuonyeshe
 
aaah!na ww ulimdekezaa mnooo!muda wote huo unapgwa vznga hata hujistukii?
Nilikuwa navumilia, najaribu kumwelekeza jinsi mwanaume anatakiwa awe nikijua kuna siku ataelewa, anasema nimeelewa mama nisamehe haitajirudia kabisa kuanzia next time kila kitu kitakuwa okey, ghafla nakuja kushtuka hela imeenda tena[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Halikua duka lake hilo
 
Pole sana duniani ni sehemu ya kujifunza,ndio maana ke wengi wanachepuka na waume za watu
 
Bado ujamaliza lile jumba la udongo alipo kwambia kuna kitu anachukua ni kwake au? But uyo jamaa aliingia na gia ya mapenzi akijua utalainika kiuraisi but uyo jamaa ni boya kwa staili iyo hawezi fika kokote
 
Nilikuwa navumilia, najaribu kumwelekeza jinsi mwanaume anatakiwa awe nikijua kuna siku ataelewa, anasema nimeelewa mama nisamehe haitajirudia kabisa kuanzia next time kila kitu kitakuwa okey, ghafla nakuja kushtuka hela imeenda tena[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
pole sanaa mkuu kwa kulea kibenten kilichokuzid umri kwa muda wote huo
 
Bado ujamaliza lile jumba la udongo alipo kwambia kuna kitu anachukua ni kwake au? But uyo jamaa aliingia na gia ya mapenzi akijua utalainika kiuraisi but uyo jamaa ni boya kwa staili iyo hawezi fika kokote
Pale ni geto ya kijana wake wa dukani huwa nafikiri huwa anapenda kupatumia kuwapeleka wadada,so mimi alijua kabisa siwezi kubali coz amejenga ila swala la kwenda kwake hataki, sijui kwa nini alikuwa ananihaidi kila siku tutaenda ila ikifika hiyo siku anabadi gia
 
Alikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe
Mkuu getle umea
Raha ya mwanaume na yeye ahudumie buana hata kwa asilimia kadhaa kama zote hawezi, sasa yani hata raha ya mapenzi haipo, naenda kwake anachukua buku langu anaagiza soda mbili, yani haivutiii jamani khaa
We ulikuwa unalea
 
Back
Top Bottom