Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Hakika yani sasa hivi tukikutana ni paka na panya, mana siku namwambia basi hakwenda hivi hivii nilimchamba sana nikamwambia alivyo nichululia ila hakuwa hata na chembe ya aibu kinirudishia
Wewe ulipagawa na identity ya ufanyabiashara ndo mana ukaangukiwa komwe
Do not focus on material things
Huyo jamaa anafanya hivyo pengine alaipigwa mizinga sana na hakuna alichoambuliwa hivyo saivi hakna mwanamke anayemjali
 
Duh sielewi hata nijibu nini
jibu tu dada..ila kweli nakwambia mwanamme wa karne hii hamuoni mwanamke ni wa thamani kutokana na wanawake wenyewe mnavyojidhalilisha mtaani kimavazi kimuonekano kukosa staha.
ndio maana hali imegeuka mwanamme anataka apendwe yeye kwanza kabla hajakupenda.
 
Nimejifunza sana mkuu, sidhani kama naweza toa hata jero hovyo hovyo
Kwenye mapenzi kuna kusaidiana na siyo kwa namna ile ya jamaa yako. Unapoingia kwenye mapenzi ya ndoa yaani ya kujenga familia ubinafsi huwa unatoweka na mnakuwa kitu kimoja. Ukimpata mtu sahihi wa kuishi naye utajikuta unatoa hata haujaombwa hela na K.
 
Alikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe
teh teh teh....hadi matofali
 
Unaonekana kuwa ni mtu mwenye uelewa.
Ulikwama wapi kwa huyo Muuni,maana hatuwezi kusema kuwa ni gegedo kwa sababu hajawahi kukutafuna,hatuwezi kusema kuwa ni pesa maana kwanza wewe ndio ulikuwa unapuswa.

Yan bado sielewi ulikwama wapi.
 
Hata sielewi jamani yani alinishika akili nikawa kama zuzu
 
teh teh teh....hadi matofali
Yaaani alikutana na mpigaji ..mtoto wa mjini haswaa ...

Mimi nimeshawahi ku experience hali kama yake ...ila kwa upande wangu nina baadhi ya marafiki wenye tabia mbovu kama hiyo ... yaani nilikuwa napata shida sana kukaa nao " Asikuambie mtu duniani moja ya vitu vigumu ni pale unapo kuwa umezoea kuwa mstaarabu halafu uje kuishi na watu/mazingira ambayo hayana busara. Utu na ustaarabu. Huwa ni kazi kubwa mnoo ....Yaani utapata shida kubwa sana ...uswahili ni mbaya
 
Kwenye mapenzi kuna kusaidiana na siyo kwa namna ile ya jamaa yako. Unapoingia kwenye mapenzi ya ndoa yaani ya kujenga familia ubinafsi huwa unatoweka na mnakuwa kitu kimoja. Ukimpata mtu sahihi wa kuishi naye utajikuta unatoa hata haujaombwa hela na K.
Naongelea kutoa toa kwa mtu ambaye bado ajasomeka
 
jibu tu dada..ila kweli nakwambia mwanamme wa karne hii hamuoni mwanamke ni wa thamani kutokana na wanawake wenyewe mnavyojidhalilisha mtaani kimavazi kimuonekano kukosa staha.
ndio maana hali imegeuka mwanamme anataka apendwe yeye kwanza kabla hajakupenda.
Haaa jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom