Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Sijaimalizia hadithi hii i come to the conclusion kuwa huyu alikuwa ni mfanyakazi na sio mwenye mali na wewe hukushtukia hilo
 
Wote mlikutana waongo, we ulitaka kumchuna pesa Huyo mkaka, na yeye alitaka kukuchuna pesa..kwahiyo ngoma ikawa droo..ingawa Huyo kaka hajakuvua chupi lkn kakushinda akili coz kakuchuna vielf 5 vyako Lady of Destiny1
 
First ni kinyume na sheria za barabarani
Pili mimi huwa sipendi kupanda katikati ya wanaume wawili
Tatu niliona he don't care about me, kwani buku ya boda niliona ni hela ndogo but bcoz alikuwa kimaslahi aliona akilipia boda mbili atafilisika
Hata mimj hili swala la mshikaki sikubaliani nalo kabisa, umeeelezea sababu zako vizur sana.
 
Wote mlikutana waongo, we ulitaka kumchuna pesa Huyo mkaka, na yeye alitaka kukuchuna pesa..kwahiyo ngoma ikawa droo..ingawa Huyo kaka hajakuvua chupi lkn kakushinda akili coz kakuchuna vielf 5 vyako Lady of Destiny1
Mimi sikuwa nahitaji hela zake but at least wote tuchangie kwa usawa pale linapokuja suala la hela

Usini quote vibaya
 
Alikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe
Tobaaaaaaa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] kweli huyo kupe.. Umpe matofali!!
 
Duuh akatala akulee mzigo kwenye Nyumba ya Udongoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vip ulimpa tunda msukuma huyoo???
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Kwani jamaaa ni msukuma
 
Wadada mmekuwa wajinga, yan bikra ulitolewa ukiwa sekondar umepata mchumba baada ya washkaj kibao kukuonja bado unaleta ujinga wa kusema utatoa tunda baada ya ndoa, wanaotakiwa kutusubirisha had ndoa ni wale wenye bikra tu ila nyie chama la wana mnatakiwa mtupe nyuchi hizo tuendelee kuwachakaza
 
umejitahid katika utunzi!! Sisi tutaaminije ni kweli!? Otheryz tuckie side story!!, hii ni fix(chai).. Cwez kumpondea jamaa mpka tupate AUTHEntication ya hii story maana ww upo kam saint hapo, huna kosa eti na mbunye unatoa baada ya ndoa!! Mimi hii story nakataa aisee... Naamin mwana hana usengery kias hicho !!,
 
Back
Top Bottom