Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #41
Hili kwa sasa ni janga la kitaifa yani yatakiwa ipe public note kama unakutana naye huwezi kuaminiHawa wa hivi ni wengi sana siku hizi.
Hili kwa sasa ni janga la kitaifa yani yatakiwa ipe public note kama unakutana naye huwezi kuaminiHawa wa hivi ni wengi sana siku hizi.
Sure ..mimi nimestaajabu sanaUlikutana na kibaka ujakutana na mwanaume wanaume tupo high class hatufanyi ujinga huo
Raha ya mwanaume na yeye ahudumie buana hata kwa asilimia kadhaa kama zote hawezi, sasa yani hata raha ya mapenzi haipo, naenda kwake anachukua buku langu anaagiza soda mbili, yani haivutiii jamani khaaUsikwepe majukumu, ujue anakupima, kama siku akikosa chapaa, utaweza vumilia, vile uko "financially stable", mpe akili na pesa yako yote, ajue kuwa uko "wife material", ile siyo taka "divorce after honey moon night".
Hahahah ...muwage mnawafanyia utafiti wa kina wapenzi wenu watarajiwa kabla hamjaingia nao kwenye mahusiano ... sasa tabia za huyo jamaa zinatofauti gani na Luku ..mtu anapenda hela kama luku bwanaAlikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe
Ningekuwa sijaoa ningekuja PM lakini Nina mchaga wa Rombo Mwaka wa Nane huu utafikiri tumekutana Jana.Nilichogundua kwa Mke wangu alipata malezi Bora kabisa ya kuwa Mke mwema.Shikamoo Rombo.Alafu huyo siyo kibenten ni mwanaume ambaye ni mkubwa kabisa kwangu matured na ana hustle kama kawaida ila miziga nayo anapiga sana
Sasa akili zitukae sawa kwani zimeyumba?
Hahaha hiyo ni natural ya mtu aise .. kama umeumbwa na haya kisha una moyo wa Utu hauwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama utajaribu kuiga kiasi gani labda uende corse kabisaHa ha ha natamani kuwa na ujasiri kama wa huyo jamaa
Pole sana mdada utapata wa kufanana naye kuwa na subiraAcha kabisa, mpaka naachana naye nilikuwa namdai elfu 35 nilizomkopesha acha sile za mizinga ambazo sidai na simu ya tochi aloniazima.
Bada ya kuachana naye nikamwambia anilipe deni na aniletee simu, akasema poa pitia kesho kesho yake nikapita dukani kwake akasema nakuja ngoja nikufatie hela yako benki kwenye atm iliyopo tu jirani akachukua boda akaniacha hapo akasema anakuja bada ya dakika tano, uwezi amini nilikaa masaa mawili na nusu hakuja kumbe ilikuwa mbinu ya kunikimbia, basi nikadai mpaka nikachoka
Nikakaa nikasema kwenye maisha kama ni hasara nilishapata nyingi sana acha na hii simu na hizzi hela zangu nione kama hasara nyingine nazitoa sadaka kama ataniletea fyn kama asipoleta fyn sontadai nikaiambia nafsi yangu kila ukikumbuka simu na hizo hela ukaumia tazama magari ya mafuta yanayolipuka na kumwagika kila siku, tazama magorofa yanayoanguka je wamiliki wanafanyaje dah hiyo ikanipa faraja nikakubali kuwa nimepoteza nikajisamehe maisha yakaendelea
Hahaha kuna watu wamevurugwa Sana ...kwanza mimi nikiwa sina hela huwa na loose confidence kabisa ...watoto wazuri siwezi hata kuwasogelea ..hata kama mwanamke atakuwa haitaji hela yangu ..lakini nikiwa sina hela siwezi kukaa nae karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuh jamaa hapanaa mpaka anataka kukulia kwenye nyumba ya Udongoo.. alikushusha thamani sanaa
Nimejifunza sana mkuu, sidhani kama naweza toa hata jero hovyo hovyoHahahah ...muwage mnawafanyia utafiti wa kina wapenzi wenu watarajiwa kabla hamjaingia nao kwenye mahusiano ... sasa tabia za huyo jamaa zinatofauti gani na Luku ..mtu anapenda hela kama luku bwana
Unapochagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano inabidi uwe makini sana maana kuna wanaume wenye akili za kivulana na wenye akili za uanaume. Huyo uliyekutana naye ana akili za kivulana kwahiyo tabia ya mpenzi wako usijumuishe na watu wengine. Pole sana mpaka nakuonea huruma.Alafu huyo siyo kibenten ni mwanaume ambaye ni mkubwa kabisa kwangu matured na ana hustle kama kawaida ila miziga nayo anapiga sana
Sasa akili zitukae sawa kwani zimeyumba?
Hongera kaka, wadada wa pande hizo tunajielewa sana nahisi mimi ndo mchaga wa kwanza kupigwa mizingaNingekuwa sijaoa ningekuja PM lakini Nina mchaga wa Rombo Mwaka wa Nane huu utafikiri tumekutana Jana.Nilichogundua kwa Mke wangu alipata malezi Bora kabisa ya kuwa Mke mwema.Shikamoo Rombo.
Hahaha dah !!! Karibu kwanguNi ubahili mana uwezo wa kwenda hata garden au sehemu nzuri anajua pale tutakula au tutakunywa au tutalipa kiingilia so anidanganye ili niingie geto chafu la kuazima
Yani wakati naondoka lile eneo naona aibu sijekutana na mtu anayenijua natokea kanyumba kabaya hahhaha kaudongo mungu wangu sitaki kukumbuka
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
KabisaHahaha hiyo ni natural ya mtu aise .. kama umeumbwa na haya kisha una moyo wa Utu hauwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama utajaribu kuiga kiasi gani labda uende corse kabisa
Duh sielewi hata nijibu ninistori yako tamu kweli dada angu.hakuna kosa kubwa unalomfanyia mwanamme wa sasa kama kumega mkate kidogo.wanamme wengi wa sasa ni nyoronyoro wengi wanalishwa wanapetiwapetiwa sasa mkazie mpenzi wako kama hujajutia.
Pole usirudie tena
HahaaJiongeze njia ipo wazi kwangu