Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,303
- Thread starter
- #121
Ndio na bishaMiss Zomboko mwanaume pia utabisha
Ndio na bishaMiss Zomboko mwanaume pia utabisha
Totoz za 2000Na Uzee huu nitachat nini na PisiKali za JF 😜
Sina comment au thread za kuleta taharuki kiasi cha mimi kutekwaKUwa makini wengine wasiojulikanana wanajifanya mademu.
Na kila thread wapo...wapo wanaopita kimyakimya..wapo ambao kila thread wanacomment
Embu wahesabu hao
Vijana mnatupiga gap Wazee wenu tu 🤗Totoz za 2000
Mwaka juzi kulikua na wanawake sita, mmoja kaenda masomoni mwingine hayupo tu kapotea.....wamebaki wanneEmbu wahesabu hao
Hahaha pesa yako tuVijana mnatupiga gap Wazee wenu tu 🤗
Ambao ni …………..Mwaka juzi kulikua na wanawake sita, mmoja kaenda masomoni mwingine hayupo tu kapotea.....wamebaki wanne
We endelea na mapishi acha kubet mapenzi humu jfAmbao ni …………..
Labda mwanamke niko peke yangu tu humu 🤣 🤣
DahWe endelea na mapishi acha kubet mapenzi humu jf
Mwanamke ni financial services na wengine watatuLabda mwanamke niko peke yangu tu humu 🤣 🤣
Nakazia aendelee kumenya ndiziWe endelea na mapishi acha kubet mapenzi humu jf
Nani alikutuma?Inaniuma sana mie,kuna jamaa humu anatumia jina la kike nikamtongoza huko pm akakubali,nilipo mpigia akapokea wa kiume,nikajiuliza hili li shoga au?
Na wewe pia utaambiwa mwanamme au shoga 🤣Labda mwanamke niko peke yangu tu humu 🤣 🤣
Bado yeye afuatweHili jina lako ni la jinsia gani kwani?
🤣🤣🤣