Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 690
- 1,126
Mimi naogopa nishakuwa banned mala kadhaaaUchangamshe
Mimi naogopa nishakuwa banned mala kadhaaaUchangamshe
😂😂kumbe kuna kupima afya ya akiliSasa kama watu wanatongozana na kukubaliana bila kupimana afya ya akili sisi tufanyaje?? Walete tu pachangamke , wasindikize na vi photo👌
Umeongea kwa uchungu polee 😂Wafaidi wapi wanaenda wanakaliwa huko pm alafu wanaludi huku wanajifanya wanapendwa huko ukweli mchungu .....mademu wa humu jau tupu
Weka codeMimi naogopa nishakuwa banned mala kadhaaa
Ina dependJamani humu mnatupaje nyavu wakuu.
SanaHatari sana
Hautafundishwa kila kitu.😂😂kumbe kuna kupima afya ya akili
Dah ila kwelii hii ni kujiongeza tuHautafundishwa kila kitu.
Kuku wewe sishushi sasa njoo uniueWewe shusha mistari hapa hapa, mwanaume anayejiamini hasubirii pm..!!
Hili jina lako ni la jinsia gani kwani?Inaniuma sana mie,kuna jamaa humu anatumia jina la kike nikamtongoza huko pm akakubali,nilipo mpigia akapokea wa kiume,nikajiuliza hili li shoga au?
Na kuchwa pia😂😂 lita kuchwea
We ndo unatumia jina la kike 😆😆Inaniuma sana mie,kuna jamaa humu anatumia jina la kike nikamtongoza huko pm akakubali,nilipo mpigia akapokea wa kiume,nikajiuliza hili li shoga au?
Ila kuwa mtulivuNa kuchwa pia
Jamaa ukute ana I'd mbili maana ili jina la kikeHili jina lako ni la jinsia gani kwani?
Wewe mpk nikupe mimba ndo utaniheshimu..!! 😹Kuku wewe sishushi sasa njoo uniue
Utulivu upo wa kutoshaIla kuwa mtulivu
Anajiita zake lovely” hadi raha. Wanaume siku hizi wamekuwa nyororo sana.Jamaa ukute ana I'd mbili maana ili jina la kike