Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,564
Kumbe!!!!!Hell
Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa
Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa jf sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadirike kidogo
Bingwa wa kwenda chochoro na warembo umejiweka wazi....