Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
- Thread starter
- #21
How?Kuhusu kutongoza huo ni uongo labda km unapeleka ubuyu 😹😹
How?Kuhusu kutongoza huo ni uongo labda km unapeleka ubuyu 😹😹
Pacha ume anza vuruguKuhusu kutongoza huo ni uongo labda km unapeleka ubuyu 😹😹
mtafute kila unapo muonaDahh, promise yake ya kufungua Pm haitabiliki ni lini, sijui nimfungulie uzi live hapa jukwani 🤔🤔
HahahahaTongozeni mitaani kwenu, hapa mnajichanganya hadi mnatutongoza wanaume wenzenu shwain....
Kwakweli asee daah yaan matured mnatufanya tukose wenzaHell
Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa
Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa jf sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadirike kidogo
Lete huyo uliyemtongoza akakukataa?How?
😹😹😹 basi naacha.Pacha ume anza vurugu
Atakuja kubakwa mtu, shauri yenu....msije sema hamkuambiwaSema kwelii
Kisa utoto wa watu fulan 😂Kwakweli asee daah yaan matured mnatufanya tukose wenza
Hamna umefikiria mbali sana sipo uko kabisaLete huyo uliyemtongoza akakukataa?
Mi ninachojua unatafuta News huko pm bana Mwachi 😹
Endelea tu, mimi ni nani niku pangie cha kufanya😹😹😹 basi naacha.
Hell
Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa
Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa jf sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadirike kidogo
😂😂 sio rahisi ivyo bhnaAtakuja kubakwa mtu, shauri yenu....msije sema hamkuambiwa
Au sioNi Wivuuuuuuuuuuu tu
Vitajuana viungo vya siri mzee babaHivi nguvu ya kumtaka mtu faragha na humjui mnaitoa wapi wakuu
Shauri yenu....kitakuja kumlamba mtu😂😂 sio rahisi ivyo bhna
Haya sawa..Hamna umefikiria mbali sana sipo uko kabisa
😹😹😹Endelea tu, mimi ni nani niku pangie cha kufanya