Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Huu Mwaka hadi uishe Wanaume humu tutakoma, tangu juzi ni Nyuzi za Wanaume tu

Mara wanataka kutumiwa nauli, wengine wanaomba hela ya Msamaha elfu 45, na huyu naye ameombwa Vocha ili awe anabembelezwa Usiku kama Marlow 🙆
 
Suluhu ni kufunga pm au kutokujibu any message
hata akifunga unadhani ndiyo suluhisho? wameshapeana namba za whatsapp wanataka kupigiana vedio call sijui usiku kuthibisha mchaguliwa kama hana mke au kama kweli jamaa mwingine yupe Itally hahahahah sijui Mwingine yupo Brazillly huo ni utooo siamini kama bibie anamiaka 35 ......... mwanamke wa miaka hiyo hana huo utoto wa video calls na hawezi kuwachagua wanne wote kwa wakati mmoja wawe wachumba zake hahahah Hili nalo Tujifunze kitu
 
Kitu kingine nacho wakataza wanaume wenzangu ni kuacha ubahili wahudumie madem zao, kwakweli inasikitisha sana mimi sina demu lakin had nataman kuwahudumia madem wa marafik zangu maana wanaume wenzangu hawatoi hela
Achana na hao madem wa washkaji zako msaidie mtoa mada mkuu
20221208_182239.jpg
 
Suluhu ni kufunga pm au kutokujibu any message
Sasa sie wakweli tukitokea[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Muhimu ni kuchambua pumba ndio maana mlifundishwa kupeta Mchele kwa ungo.

Au nije pm[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Maana wengine tutakubembeleza kwa zeze.
 
Kuweni makini tutahangaika kuandika kumbe member mwenzetu ana matatizo tukamshambulia bure..
Anahitaji kusaidiwa Akili yake ikae sawa..
Usingle Mama si mchezo mkuu na hali hii halafu awe hana kazi ni mtihani.
sasa huyo ukiwa mchumba wake utakuwa unaenda kufurahia nini au utamridhisha kwa lipi.. Kumpenda mtoto wake wa miaka 3 au kwenda kumzuia asife kwa sababu ya stress za baba mtoto wake kumtelekeza na maisha kuwa magumu. Ushauri wa dada wa humu msaidieni mwenzenu anapitia kipindi kigumu sana... Yeye anatafuta mwanaume wa kumbembeleza jemba naye ameomba lipwe hela ya vocha ili aweze kumbembeleza bibie amekuja kumuanika humu siyo sawa
 
Bahati mbaya hapa sina sifa alizotaja kuliko niwe muongo kama wanaume wenzangu walivyo waongo bora nimuache tu niendelee kuwa singo ila najua wewe huwez lazima umeshajaribu kumdanganya
mkuu umejuaje kama hana sifa au nawe ni miongoni mwa mliotelekeza hahahah
 
Huwa nawashauri sana wanaume wenzangu waache uongo lakin hawataki, Mimi wanavyoniona ni mkweli wananichukulia kama mshamba kwakweli wanaume wenzangu wameharibika sana mbona mi ni mkweli tu na sijapungukiwa chochote, nisikufiche wengi wana madem watatu watatu mimi tu ndo niko singo wala sina tamaa na madem

Lucha jamani na mim je?
 
Bahati mbaya hapa sina sifa alizotaja kuliko niwe muongo kama wanaume wenzangu walivyo waongo bora nimuache tu niendelee kuwa singo ila najua wewe huwez lazima umeshajaribu kumdanganya
Hahahaha mkuu umenikosea sana
Kwamba na mimi nipo kwenye Foleni?
Hapana ndugu yangu mimi nina mke siwezi kimbizana na mwanamke mtandaoni tena tunatumia Id fake.
Mimi nakuomba msaidie japo tuhela twakula tu utakuwa umemuokoa na kuhangaishwa na wajamaa Pm.
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Mwingine tena😅🙌
 
Kitu kingine nacho wakataza wanaume wenzangu ni kuacha ubahili wahudumie madem zao, kwakweli inasikitisha sana mimi sina demu lakin had nataman kuwahudumia madem wa marafik zangu maana wanaume wenzangu hawatoi hela

Lucha jamani jamaniii
 
Hii kasumba ya kutuhuma wanaume wote wa JF ni ukosefu wa ukomavu wa akili kabisa.. Umefuatwa pm cha ajabu badala ya kumpokea mmoja mara umempokea wa Italia, mara wa Mbeya mara wa Mkoa gani mwingine sijui mnaambizana mumbembelezani hadi usingizi.. Matured Man hawezi kukupigia usiku eti akubembeleze ulale huyo ni hawa waliomaliza Vyuo majuzi sasa mkukutana nao msituhukumu siye wengine ambao Jua limeshazamaa na hatuna hizo slay life
Yeah sure mkuu. Binafsi sipokeagi lawama za jumla
 
Back
Top Bottom