Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

We sema nguruwe acha mambo yako..!!! Nitakutafuta tupige na picha ya kuituma JF
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nina Kaka kichaa kabisa...
Nataka za porini sitaki hiyo uliyotaja. Kitu naogopaga kuhusu wewe, ukilewa unaweza nitolea siri zangu zote, nazokwambiaga. Sijuagi kwanini nilikuchagua kuwa msiri wangu 😪
 
Back
Top Bottom