Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,100
- 72,535
Akinichokoza mtu analoooNapenda kuona ukifurahi mtu yoyote akitaka kuharibu furaha yako katangaza vita na mimi
Akinichokoza mtu analoooNapenda kuona ukifurahi mtu yoyote akitaka kuharibu furaha yako katangaza vita na mimi
😂😂😂 mjanja LuchaTushakushtukia kua unataka wote ila unaogopa kusema
Nitakuachia kabisa wiki nzima 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa...
Utanipapo ka lifti basi ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba zetu zimewekwa mfuko wa shati? Shem nifanyie 50k hapo, najua unayo..sema utaninyima makusudi tu!
Waaaaaaaah!!!!Nitakuachia kabisa wiki nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅Msiongezeke tafadhal nyie nyie sita ndio nawaweza aiseeee
Na card ya mafuta, ni wewe tu kula misele hadi uchoke 😅😅Waaaaaaaah!!!!
Can't wait aiseeeee....
Hadi anasbo hapana aisee ushaharibu sitaki tena mimi😅😅😅
mzabzab
Mzee wa kupambania
mpwayungu village
Melki the Storyteller
anasbo
Tumeitwa huku tumsghulike mtu yani anataka MMMMMMF kiroho safii
😂😂😂Huu ni uongo haki ya naniTushakushtukia kua unataka wote ila unaogopa kusema
Duh balaaaa. Mie nawahi kabisaaaa shimo langu pendwa🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅
mzabzab
Mzee wa kupambania
mpwayungu village
Melki the Storyteller
anasbo
Tumeitwa huku tumsghulike mtu yani anataka MMMMMMF kiroho safii
😅😅😅😅 Haya basi mpunguze anasbo badi tubaki sie tuHadi anasbo hapana aisee ushaharibu sitaki tena mimi
Na wewe muda sio mrefu nakulambisha ignore bataniiiiiiii 😉 😉
Na mie nimeishawahi lile lingine mapena 😅😅Duh balaaaa. Mie nawahi kabisaaaa shimo langu pendwa🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ya kutembelea full tank siyo!!![emoji126][emoji126][emoji126]Na card ya mafuta, ni wewe tu kula misele hadi uchoke [emoji28][emoji28]
Kama sample haifiki hata wanaume 100, basi hiyo itakuwa ni biased sample, na hiyo observation haiwezi kuwa concluded kama observation ya wanaume wote wa JF.Akifanya vizuri, sifa anapewa yeye huko huko pm na Whatsapp. Akizingua, lawama zinakuja kwa wanaume wote wa JF.
Anyway, umesema wanaume wa JF sio wakweli, kwani umetoka na wangapi ambao walikuwa kama sample space ya research yako?
Umenichekesha sana wallahSasa Darlin unaenda wapi? Dunia imeharibika hii wanaume wenzangu Wana tamaa watakudanganya tu punguza hasira alaf tuongee mi najua Kuna sehem hujanielewa tu
Sasa Darlin unaenda wapi? Dunia imeharibika hii wanaume wenzangu Wana tamaa watakudanganya tu punguza hasira alaf tuongee mi najua Kuna sehem hujanielewa tu
Darlin nataka tu kumpa ushauri ili asije kuangukia kwenye mikono ya watu wenye tamaa wala sina nia mbaya hujanielewa tu vizuri usiwe na hasira banaNami Sikutaki baki tu na Darlin