Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,313
Hii ni jeuri mpya mjini...umeanza kuitumia wewe peke ako😂Hicho kifuta machozi kiache uje kukichanganya na mchango wa harusi😆😆😆😆😆
Hii ni jeuri mpya mjini...umeanza kuitumia wewe peke ako😂Hicho kifuta machozi kiache uje kukichanganya na mchango wa harusi😆😆😆😆😆
Totoz za geti kali utazijua tu😅Embu niache huko nakuja sasa uniblock na unifungulie mbwa wanikimbize kwenye hilo kasri lako
Heehehheheh naanzaje kua na jeuri mbele yako kaka yangu😥😥Hii ni jeuri mpya mjini...umeanza kuitumia wewe peke ako😂
Uswahili kuna mageti kumbeTotoz za geti kali utazijua tu😅
Wewe unatoa macho tuu 😅😅 huyo analalamika sie sio wakweli kwani hajui kanuni, muweka mwanaume mapajani anza zungumza kwa lugha laini mbona atasema ukweli anaotakaaa.. au ile mwanaume kalala mwanamke anakuwa juu mbona ataambiwa ukweli anaotaka shida hajiongezi 😅😅😅Usicheke basi nitalia bure 😒 😒 😒
Aaahhh sasa mbona hiyo kanuni hujaniambia toka muda kaka yangu mpaka umesubiri mwaka umeisha huuWewe unatoa kacho tuu 😅😅 huyo analalamika sie sio wakweli kwani hajui kanuni, muweka mwanaume mapajana anza zungumza kwa lugha laini mbona atasema ukweli anaotakaaa.. au ile mwanaume kalala mwanamke anakuwa juu mbona ataambiwa ukweli anaotaka shida hajiongezi 😅😅😅
Jana nilikuwa bebi humu leo nimekuwa kaka, kweli kukosa kazi ni kukosa kila kitu😢😢.. Dawa mtuweke mapajani siona Samson alitoa hata siri za Mungu kwa Delila 😅😅😅 nyie wagumu kututunuku mnakaza tu kutuika makaka kisa hatuna hela ila tuna siri sasa 😁😁Aaahhh sasa mbona hiyo kanuni hujaniambia toka muda kaka yangu mpaka umesubiri mwaka umeisha huu
Anyway mwakani mapema kabisa naanza nayo....hehhe niombeeee 😆 😆 😆
Vocha inakufikiaje huko? Toa mwongozo😀😀Nipo Massachusetts hapa, nitumie vocha nikubembeleze upate usingizi.
Usiseme hivo my wangu wewe ni bebi, kaka, mjomba, ukizidi kidogo utakua hadi mama 😆Jana nilikuwa bebi humu leo nimekuwa kaka, kweli kukosa kazi ni kukosa kila kitu😢😢.. Dawa mtuweke mapajani siona Samson alitoa hata siri za Mungu kwa Delila 😅😅😅 nyie wagumu kututunuku mnakaza tu kutuika makaka kisa hatuna hela ila tuna siri sasa 😁😁
☺️☺️☺️ Mjomba ni mama, alafu wajomba sijawai kusikia wanawalala watoto wao, ila wababa wadogona wababa wakubwa sana tu.. Labda niwe baba mdogo hivyo vyetu vya kutunyima ridhiki tumevichoka.. na mzabzab ni naniUsiseme hivo my wangu wewe ni bebi, kaka, mjomba, ukizidi kidogo utakua hadi mama 😆
Nielekeze bas gardens nzuri za kukaa ili nkimpata huyo bebi nimueke mapajani kama delila nimnyoe kipara kabisaaa
Umesahau kutaja na kabila lako japo watanzania hatuulizani makabila,😀Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA
yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo
Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui
Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo
Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
😆 😆 😆 😆 😆 yani wewe ni mjomba tena mjomba tena hiyo ridhki unayoongelea utaiskia tu my wangu😉☺️☺️☺️ Mjomba ni mama, alafu wajomba sijawai kusikia wanawalala watoto wao, ila wababa wadogona wababa wakubwa sana tu.. Labda niwe baba mdogo hivyo vyetu vya kutunyima ridhiki tumevichoka.. na mzabzab ni nani
Yani nyie wamama wa humu mnavyo tudharau kama tupo vichaa vile... mzabzab tufanye namna huyu mama tupige 3some ya MMF😅😅😆 😆 😆 😆 😆 yani wewe ni mjomba tena mjomba tena hiyo ridhki unayoongelea utaiskia tu my wangu😉
Aaahh huyo mie wala simjui asije akatuharibia zetu
😬😬😬 Kuombwa hela si kawaida, uzuri Jf wanajua sina kazi na sina hela kuja kukuomba hela wala hawatashangaa huenda wakaniomba na namba wanichangie kwenye halopesa yangu😁😁😁😁Nyie vitoto vya huku mko hovyoooooooooooooooo 😉 😉 😉 😉
Au nkuanzishe thread ulivyokuja kuniomba hela piemu😒😒😒
Umenishinda tabia wallah 😆 😆 😆 😆 kumbe hata huogopi na unaipenda tabia yako😬😬😬 Kuombwa hela si kawaida, uzuri Jf wanajua sina kazi na sina hela kuja kukuomba hela wala hawatashangaa huenda wakaniomba na namba wanichangie kwenye halopesa yangu😁😁😁😁
Mmetuchoka sana hadi mnatuita vitotooo
😅😅😅 Na uzuri na sie tumeishakubali matokeo, tunapambama na hali zetu kitaaa.. Kirohooo safiUmenishinda tabia wallah 😆 😆 😆 😆 kumbe hata huogopi na unaipenda tabia yako
Sasa kama mna viherehere kama wewe unadhan tutawaitaje
Naelewa hilo tajiri wangu wa mchongo...ila usinisahau bas kwenye madeal yako si unajua sie wote jobless😅😅😅 Na uzuri na sie tumeishakubali matokeo, tunapambama na hali zetu kitaaa.. Kirohooo safi
Weee..!! Mi nipo Mbagala, muulize hata Bantu Lady anajuaHehhehe halooooo
Nani huyo kakudanganga yuko Italia?
Wanaume wa humu wote wako Sinza na Meru 😂