Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Kwahiyo anazopewa na bwanaake akuletee wewe..!! Ndo maana tulipingaHata dada kumuomba mlipinga 😬😬😬 dada ni ndugu
Kwahiyo anazopewa na bwanaake akuletee wewe..!! Ndo maana tulipingaHata dada kumuomba mlipinga 😬😬😬 dada ni ndugu
Nikutumie kwa no ileileNaomba elfu tano nijiunge bundle [emoji4][emoji4][emoji4]
Weeeh!! Kumbe huku ni kwa wenye hela tu!!Sasa mtu hela wa kazi gani hapa jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba ile ile, sibadilishagi namba.. Asante in advance 😊Nikutumie kwa no ileile
Nakushangaa wewe usie na hela hapa Jf 🤣🤣🤣 unakuwa huna maana yoyote tena, na kama huna magari mawili matatu ndio kabisa hufaiWeeeh!! Kumbe huku ni kwa wenye hela tu!!
Hata mimi nimeona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo siyo wa kumwamini sana
Yes ndogo tamu na haikeriUnataka ndogo?
[emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimekuelewa vyediii yaani kuna mambo nimekumbuka yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana Auntie....
Nadhani unanielewa vyema...
Auntie majobless hapatuhusu jfWeeeh!! Kumbe huku ni kwa wenye hela tu!!
Kwahiyo sisi watembea kwa miguu hatutakiwiNakushangaa wewe usie na hela hapa Jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakuwa huna maana yoyote tena, na kama huna magari mawili matatu ndio kabisa hufai
ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ humu tusio na gari ni majobless ila nyie mnatuzuga tuKwahiyo sisi watembea kwa miguu hatutakiwi
Sisi wenyewe majobless tunashangaa kusikia jf ya wenye hela[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] humu tusio na gari ni majobless ila nyie mnatuzuga tu
Mbona malalamiko kuna mtu kapigwa tukio tayari?Nikutumie kwa no ileile
Mbona haupo kwenye kitabu cha tusio na kazi wala hela humu Jf 😬😬😬Sisi wenyewe majobless tunashangaa kusikia jf ya wenye hela
We jamaa bana. Hii siyo kamba kweli? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maxence alipigwa BAN kipindi hicho na Mod alikuwa anaitwa PAW zamani early 2011
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] Tukio hajapigwa ila amewashtukia kabla hajapigwa tukio
Nimo vizuri sanaaaa kagua utalikuta jina langu sina kazi sina chochote nipo tuMbona haupo kwenye kitabu cha tusio na kazi wala hela humu Jf [emoji51][emoji51][emoji51]
Ashukuru hata kashtuka mapema [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukio hajapigwa ila amewashtukua kabla hajapigwa tukio
Acha nihakiki kama upo kesho tukupitie ukapige deiwaka TCC 😬😬😬Nimo vizuri sanaaaa kagua utalikuta jina langu sina kazi sina chochote nipo tu