Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,186
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Achana na wanaume wa jf bwana

Kagua kesho nakusubiri nikapige deiwakaAcha nihakiki kama upo kesho tukupitie ukapige deiwaka TCC [emoji51][emoji51][emoji51]
Wahuni siyo Watu!Wahuni wabaya
Una Overall na safety boots au tukubebeeKagua kesho nakusubiri nikapige deiwaka
Ninavyo vyote yaani usiwe na wasiwasiUna Overall na safety boots au tukubebee
Wewe akili yako na ya mzabzab hazina tofautiYes ndogo tamu na haikeri
😅😅😅😅Kwahiyo anazopewa na bwanaake akuletee wewe..!! Ndo maana tulipinga
Pole, ila usiseme wote, sema baadhi yao.Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA
yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo
Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui
Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo
Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
😬😬😬😬 Ndio unanishitakiAcha tu ndugu yangu!! Akaniacha kwenye mataa[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimekuelewa vyediii yaani kuna mambo nimekumbuka yaani
Mie unaniona nafaa au sifai 😬😬Narudia tena Mungu atakupa anaefanana na wewe.
May be mimi chaguzi zangu nina hisia kali
Humu kuna mkaka he is super nikisema super namaanisha, na si hawa wanaishi sinza na meru, ni wale wanaokula maisha, kama ni ulaya kaishi ulaya kweri kweriiiii hana maisha ya kuigiza narudia tena he is super. He his just a friend.northing else.
Sasa wewe dia tueleze hapa chaguzi zako ziko vipi?
Una vigezo gani vya kuprove kuwa unaekwenda kumpa no ni mwanaume unaemtaka?
Sio kila utitili unakuja pm unaukubali utitili mwengine ni wa kukuambukiza umasikini.
Ati mwanaume anajichibua? Huyo sio shoga kweli?
Natamani niwafundishe jinsi ya kujua mwanaume halisi humu jf ila nitapoteza tu muda wangu. Maana humu kuna watu lengo lenu ni kupata mwanaume hamna vigezo vingine.
....................................
1:Simply mtu akikufata pm jiulize alijiunga humu lini?
2: Je unahisi ana umri gani?
So nyuzi zake +posts zake kuanzia 2008 to date, kama huwezi zisoma basi bebana na huo utitili wa kuomba vocha.
4: tenga week nzima.kabla hujamjibu soma comments zake hutokosa jibu, kuna sehemu utagundua alishaelezea maisha yake hata kwa ufupi.
5: soma kwa makini nyuzi zake alizozianzisha, mwanaume wa maana hanaga nyuzi za kujua harmonise kaachana na kajala, wema na kile kitoto huwezi kukuta kaanzisha uwo uzi.
6: HAWEZI KUWA ANACOMMENT HOVYO HOVYO.
7. Kwa mara chache sana anacoment nyuzi za matukio eg ndege precision kuanguka bukoba atachangia kwa ufupi
8.kwenye siasa hawezi kuchangia sijui vijana wa ccm na chadema wanafanya upuuzi upi. Mara chache atachangia vitu muhimu vya kitaifa kwa ufupi sana
9: anapendelea jukwaa gani? Huwezi mkuta anachangia eti uzi wa kimasihara na ikitokea alichangia basi ni sentensi moja tu.
10. Kama anaishi ulaya muulize nchi gani? Akikwambia angalia time diference ya hiyo nchi na huku tz, then ulinganishe anachangiaga humu muda gani.?
11.kama kweli anaishi ulaya nyuzi alizoanzisha yeye kama alijiunga 2010 haziwezi zidi 10 na comments kama 387 kwa miaka 12 tho hapa inategemea anaweza asiwe na uzi alouanzisha ila coments zake ni chache. Tho hapa kuna option anapendelea kuchangia nini kama anapenda mpira lazima comments zake ziwe nyingi.
Etc etc etc etc
..................
Usione uvivu kumchunguza mtu anaetaka kuingia kwenye maisha yako.
Nimalize kwa kusema hivi humu jf ndo kuna wanaume wa maana kwa nyie ambao mnatafu, kuna wanaume wana pesa chafu, wasafi wana ndiga za maana wana maisha halisi lakini dada hawawezi ingia kwenye maisha yako kwa sababu wewe huna standards.
Huna standards kwa maana ipi?
Hauko real
Kuna wakati unachangia ujinga ukijuwa hufatiliwi.
Dada ukifatwa pm unaruhusu mazoea na usio wajua je umesahau humu watu wana id hata tatu? Leo kaja na hii kesho kaja na ile?
Kama unahisi huyo mwanaume sio mwambia sikuhitaji usikubali kumpa no yako wakati bado una wasiwasi.
Nb nilichokiandika hakimulengi muanzisha mada ni kwa yeyote atakaeona akisoma kitamsaidia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Auntie majobless hapatuhusu jf
Cillah yeye ndio hakutokea kama wewe ulivyoniwekaga pale hadi saa sita za usiku kama nasubiri gari ya mshahara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo siyo wa kumwamini sana
God bless you luckylineNarudia tena Mungu atakupa anaefanana na wewe.
May be mimi chaguzi zangu nina hisia kali
Humu kuna mkaka he is super nikisema super namaanisha, na si hawa wanaishi sinza na meru, ni wale wanaokula maisha, kama ni ulaya kaishi ulaya kweri kweriiiii hana maisha ya kuigiza narudia tena he is super. He his just a friend.northing else.
Sasa wewe dia tueleze hapa chaguzi zako ziko vipi?
Una vigezo gani vya kuprove kuwa unaekwenda kumpa no ni mwanaume unaemtaka?
Sio kila utitili unakuja pm unaukubali utitili mwengine ni wa kukuambukiza umasikini.
Ati mwanaume anajichibua? Huyo sio shoga kweli?
Natamani niwafundishe jinsi ya kujua mwanaume halisi humu jf ila nitapoteza tu muda wangu. Maana humu kuna watu lengo lenu ni kupata mwanaume hamna vigezo vingine.
....................................
1:Simply mtu akikufata pm jiulize alijiunga humu lini?
2: Je unahisi ana umri gani?
So nyuzi zake +posts zake kuanzia 2008 to date, kama huwezi zisoma basi bebana na huo utitili wa kuomba vocha.
4: tenga week nzima.kabla hujamjibu soma comments zake hutokosa jibu, kuna sehemu utagundua alishaelezea maisha yake hata kwa ufupi.
5: soma kwa makini nyuzi zake alizozianzisha, mwanaume wa maana hanaga nyuzi za kujua harmonise kaachana na kajala, wema na kile kitoto huwezi kukuta kaanzisha uwo uzi.
6: HAWEZI KUWA ANACOMMENT HOVYO HOVYO.
7. Kwa mara chache sana anacoment nyuzi za matukio eg ndege precision kuanguka bukoba atachangia kwa ufupi
8.kwenye siasa hawezi kuchangia sijui vijana wa ccm na chadema wanafanya upuuzi upi. Mara chache atachangia vitu muhimu vya kitaifa kwa ufupi sana
9: anapendelea jukwaa gani? Huwezi mkuta anachangia eti uzi wa kimasihara na ikitokea alichangia basi ni sentensi moja tu.
10. Kama anaishi ulaya muulize nchi gani? Akikwambia angalia time diference ya hiyo nchi na huku tz, then ulinganishe anachangiaga humu muda gani.?
11.kama kweli anaishi ulaya nyuzi alizoanzisha yeye kama alijiunga 2010 haziwezi zidi 10 na comments kama 387 kwa miaka 12 tho hapa inategemea anaweza asiwe na uzi alouanzisha ila coments zake ni chache. Tho hapa kuna option anapendelea kuchangia nini kama anapenda mpira lazima comments zake ziwe nyingi.
Etc etc etc etc
..................
Usione uvivu kumchunguza mtu anaetaka kuingia kwenye maisha yako.
Nimalize kwa kusema hivi humu jf ndo kuna wanaume wa maana kwa nyie ambao mnatafu, kuna wanaume wana pesa chafu, wasafi wana ndiga za maana wana maisha halisi lakini dada hawawezi ingia kwenye maisha yako kwa sababu wewe huna standards.
Huna standards kwa maana ipi?
Hauko real
Kuna wakati unachangia ujinga ukijuwa hufatiliwi.
Dada ukifatwa pm unaruhusu mazoea na usio wajua je umesahau humu watu wana id hata tatu? Leo kaja na hii kesho kaja na ile?
Kama unahisi huyo mwanaume sio mwambia sikuhitaji usikubali kumpa no yako wakati bado una wasiwasi.
Nb nilichokiandika hakimulengi muanzisha mada ni kwa yeyote atakaeona akisoma kitamsaidia.
Kwaiyo mnatutenga 😬😬😬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Achana na wanaume wa jf bwana
😬😬😬😬 Ulie mtuma nae akalala mbele aseee, alafu nikawa hela ya kulipa bili sinaEeeeeeh!!!Mimi si nilimtuma mtu aje ukakataa??