Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA
yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo
Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui
Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo
Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu