Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Toa kwanza 🍑🍑🍑 ndio utaona ukweli wetu, na ukitoa toa kiufundi hasaa hakuna tena kudanganywa shida hujiongezi.. Unashindwa tumia nanii yako vizuri kupata wakweli
 
Kwenye msosi hakunaga wa kunitesa nina nyodo sio za nji hii😂😂😂
Basi kaka yangu umeshinda wewe ila ndio unyamaz basi mwakani uwe mwanakamati wa harusi yangu 😒
 
Hehhehe halooooo
Nani huyo kakudanganga yuko Italia?

Wanaume wa humu wote wako Sinza na Meru 😂
Dada dada dada mie nikisema nachambwa dada Kuna muda tunatamani tu screenshot tuweke hapa kila kitu lkn hapa hapatatosha dada.
 
Waache wafunge tu mkuu, ndio vizuri tujenge[emoji16][emoji16] manake usipoangalia hutajenga. Wakifunga wanatuepusha na mengi..
Sasa mimi nimejenga ninahitaji jiko mkuu🤣
 
Back
Top Bottom