Malcom X aliulizwa kuhusu suala la ubaguzi wa rangi unaosababisha kuchukiana(pamoja na kutoleana lugha chafu) na hata kuuana baina ya jamii ya watu weupe na weusi.Kweli jukwaa la intelijensia kwa kiasi kikubwa kuna unafuu. Ila kwani siasa ni lazima matusi? Hatuwezi kufanya siasa safi zisizo na matusi na udhalilishaji wa utu wa watu ambao ni kaka,dada,mama,baba zetu pengine hata babu na bibi zetu?
Hii comment inatoa majibu mengi sana kwa wanaojielewa lakini.
Realy?Michango ya humu JF ukiichukulia siriaz basi wew ndo utakuwa na matatzo,jichunguze Dada yangu nahisi unastress za maisha.
Hatuna shida yeyote we fuata kilichokuleta Jf, kama ulijiunga ili uwe unakosoa wanaume jitahidi dada mkuu ila elewa 99% jf life is fake that's why we are using fake ID's, hata wewe ni fake ndio maana unatumia fake ID.
Umemeza au umetema?
Rudia tena kusoma ukiwa nje ya box.Watu wanatofaoutiana kifikira, kitabia, kimalezi, Unavyowaza wewe mwingine hawezi kuwaza kama wewe, bandiko lako limeangukia kwenye lawama na kashifa kwa Mwanaume unakosoa uumbaji' Huwezi kupanda dalala ukaanzisha mada watu wote ndani ya dalala wakuungee mkono, ilo ni hapana' unapoona tatizo eleza tatizo kisha toa shuluhisho ukitumia mwanya wa tatizo kuchapa watu utakuwa haukatatua tatizo, Kashifa weka pembeni, samehe waliokukwaza, Msamaha ni tiba, tambua binadamu hatufanani' Mwache mwanaume awe mwanaume' maana atabaki kuwa mwanaume tu'' Ni hayo tu hatufundishani maisha ni ujumbe tu.
Kuwa ncha zisizofanana huvutanaIlitakiwa ihusiane na nini haswa? Ulisoma magnetism?
Umenitenga my cuteNa iwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Comments ziwe fupifupi jamani, niko nawasubiri wanaume wa jf
kweli kabisa kumkojoza mtu si kazi ndogoAcheni kujisifia mambo ya kipumbavu, mna jukumu kubwa sana hapa duniani, kumbukeni mlipoteleza kisha mchukue hatua.
Sawa dada.