Wanaume wa hivi ni hovyo


Saluni tena? Mimi niingie saluni.?...dah, kuna wanaume wana moyo!
 
Wanaume wangapi wamekufanyia ivo ndo ukaja na iyo conclusion?
 
kuna mwanaume anaeridhika?
hata arudi umpokee umvue nguo umuogeshe ummassage...umpe pole umpikie chakula kizuri..
umlambe pu.mb.u..
umkatikie kiuno ..
ushuke umkande na Maji vuguvugu umpatie juis..
maananina bado atakuona ---- na atakengeuka tu...
Tatizo lenu nyie mkikaa na mashoga zenu mnatucheka ujinga...kwangu hakuna nafasi ya kudeka kama ukijisikia kudeka ukadeke kwa wazazi wako hapa hakuna wa kumdekea....kwanza muda wenyewe hautoshi kuwaza mitikasi huku unawaza kulibembeleza jitu zima..............
 
Hiyo ni natural selection.....
Mwanaume sio kazi yake hicho ulichohainisha...
Ndo maana naturally mtoto anaitaji mama zaidi kuliko baba....biologia ndio hiko ivo..
 

basi na nyie mkiumwa mkauguzwe na kudeka kwa mama zenu.
 
Hehehe ila na wewe bwana. Unatoa wapi mke anaekuwa saluni saa za kazi? Au umemuoa wema sepetu?
 
Ni shida sana aisee. Kuna shosti nilisafiri nae tukashare chumba. Ananishangaa kila asubuhi namsalimia. Anasema mumewe of 10+ years, alipiga makurufu kusalimiana asubuhi. Nikajiuliza huyu morning glory haijui kabisa?
ha ha ha mama kuna mtu ukimwambia hujaonesha kunijali atakwambia unajiendekeza!kuna wa ile dizain umelala unaumwa basi hata kukujulia hali unaendeleaje hamna na ole wako uulize wewe ndo mkorofi!social status zinazoendana ni muhimu kwa kweli!
 
beware of the bull from the front, a donkey from behind and women from all sides
 

hii ndio katiba inayotakiwa kufuatwa na wanaume wote...hakuna mambo ya tamthilia
 
sasa kama mtu kafika hatua hajali genye unasubiri nini?kuna uhusiani hapo?

Kaka yawezekana jamaa ana sababu za msingi kabisa hawa wapinzani wa jadi tuna kazi nao ati, mtu mjeuri, hasikii, hashauriki, ila unakuta ukiwa mkali msamaha hapo hapo halafu ndani ya siku tatu
huyu karudia sasa kama mtu ana focus future asee anapotezea tu kwani nini haswa!!!

Hiyo inaitwa kifungo cha nje, yaani kaa tulee watoto!!!!
Ukiwa strict utaambiwa mnoko au complicated, ukijali sana utaambiwa too good to be a husband, ukikomaa na yako utaambiwa una dharau sana siku hizi, yaani bira pumzi ipo akiwa pasua kichwa automatically hamu inakata tu
 
hii ndio katiba inayotakiwa kufuatwa na wanaume wote...hakuna mambo ya tamthilia
Swadakta...mtu kama anaumwa maduka ya dawa anayajua akanunue dawa anywe asonge mbele....sasa unaniambia mimi...kwani mimi dokta...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…