Wanaume wa hivi ni hovyo

Wanaume wa hivi ni hovyo

Hata sometimes mtu anaumwa flu au anaumwa kiuno cha period bado anataka adekezwe tu!
 
mi wangu kila siku huniambia anaumwa lakini naona anadunda tu. Mpaka sasa huwa nashindwa kutofautisha siku anayoumwa kweli na mazoea ya kila siku.
 
mwanetu kaza moyo uishi na mumeo, mumeo huyo ,ni wewe ndio uliyempendaaa, tulikufahamisha mapema kwamba mchumba wako ni mlevi ,hukutaka kutusikiaaaaaa. leo umeyaona mwenyewee mwanetu weeee nenda kwa wazazi wake mumeo ukawaelezeee....!!!!- DDC MLIMANI PARK (HASSANI REHANI BITCHUKA)
 
cha ajabu mtu wa namna hiyo ye akiumwa atataka uwe unakimbia kimbia kama nesi wa zamu pyeeee....
 
Back
Top Bottom