Wanaume wa hivi ni hovyo

Wanaume wa hivi ni hovyo

Kwa hiyo mkeo akikuletea chai kitandani unamuona kama roboti? (Najiulizisha tu manake kwa mtazamo wako sidhani kama hata tei tei unafuliwa wewe ). Nimesema toka mwanzo, shida ni malezi. Mie niliyedekezwa na babangu Mtambuzi, nikitoka shule nasimulia hadi peni ilipogoma kuandika ananiambia pole chukua hii yangu. Ungenipa shida tu wewe.

Mkeo nae anagangamala. Kwani ukimuambia pole mpenzi utapungukiwa sh ngapi? By the way, mwanaume unatakiwa kudekea mkeo tu. Mwenza wangu akiwa na stress na asiniambie, ugomvi wake sijui Mungu asimamie kwa mlangoni?

Muache si anajidai kamanda? Mapenzi yamehamishiwa instagram yeye hajui anapambana na wahindi alete hela nyumbani? Hehehe kweli dunia hadaa. Take what you give.
Mie King'asti umenielewa vizuri sana. Nami nimekusoma kabisaaa comments zako
 
Last edited by a moderator:
Teh sista, kabega tu pole mara sita?
Kudeka sawa lakini nyie bhana mmezidi kwa kweli, wajua ukideka sana mtu hawezi jua kama kweli waumwa au ndio kama kawaida yako..
Afu kwa nini wanawake hupenda sana kutumia dawa?.

Mtumishi mambo. Sasa mtumishi kudeka sawa kuna watu wanatabia ya kudeka lakini kama mtu sio kawaida yake u cant assume akiumwa ni kudeka. Sio kuumwa tu hata stress zingine za kimaisha. Kwanza mpenzio asipokudekea wewe akamdekee nani? Ndo utakuta shamba boy yeye ana care zaidi ya mpenzi wako. Maana ukiamka asubuhi utasikia shkamoo mama, mbona leo unaonekana hauko sawa? Mpenzi wako mwenyewe hata kuku notice haja notice! Hata office mate sometimes utakuta akikuona tu anakuuliza upo sawa leo? Mpenzi ndo kwanzaaaa hana habareee...
 
Lol huna mkojo au huna usingizi...? Stress za mitandaoni hizi lol ebu nipishe mie

Nimekuzuia.!? Unataka mkojo upi labda. Nkumwagie.!

Unaonekana umetingwa wewe, si bure.
 
Katiba yangu inasisitiza ukakamavu na kugangamala...
Ni mwendo wa mguu pande mguu sawa...hayo mambo ya kubembelazana kama yai yalishapitwa na wakati tangu enzi za kutongozana na kipigiana misele...
Sasa hivi tunaongozana kwa mujibu wa katiba uliyoikuta madarakani...
 
Unakuta mtu akijikata kiwembe tu basi anataka siku nzima watu wasimamishe shughuli za kulijenga taifa kwa ajili yake yeye...anataka kuona watu wamemzunguka kitandani huku wakikipuliza kidole alichojikata.....hahahaaaa..
 
Kasema komaa na si koma??? povu la nini sasa?

Tatizo dogo la kiundishi linasababisha zogo na kupelekea kuharibu uzi..hapa inatakiwa busara itumike...
Kwani usipomjibu mtu aliyekujibu vibaya unapungukiwa nini...??
Grow up guys...
 
Unakuta mtu akijikata kiwembe tu basi anataka siku nzima watu wasimamishe shughuli za kulijenga taifa kwa ajili yake yeye...anataka kuona watu wamemzunguka kitandani huku wakikipuliza kidole alichojikata.....hahahaaaa..
Lol sasa kama unamjua mtu wako si mara moja moja umpulize basi yaishe, atafurahi atalala. Sio kila siku mpera mpera tu
 
Hivi inawezekana akawa anajali genye halafu kwenye ugonjwa akawa hajali???

inawezekana wapo wanaume ambao when it comes to unyumba yupo makini sana ila mambo Mengine wala hajali..
Sasa usiombe ukakutana na asiyejali vyote utaomba poo Walah...
 
Mtumishi mambo. Sasa mtumishi kudeka sawa kuna watu wanatabia ya kudeka lakini kama mtu sio kawaida yake u cant assume akiumwa ni kudeka. Sio kuumwa tu hata stress zingine za kimaisha. Kwanza mpenzio asipokudekea wewe akamdekee nani? Ndo utakuta shamba boy yeye ana care zaidi ya mpenzi wako. Maana ukiamka asubuhi utasikia shkamoo mama, mbona leo unaonekana hauko sawa? Mpenzi wako mwenyewe hata kuku notice haja notice! Hata office mate sometimes utakuta akikuona tu anakuuliza upo sawa leo? Mpenzi ndo kwanzaaaa hana habareee...


Mie mzima mtumishi. Unaninyima mambo mazuri..we haya tu.
Swala la kusaidiana wanandoa halikwepeki, mtu akiwa moody lazma ujue nini shida, akiwa na tatizo professionally pia, financial issues na hasa ugonjwa.. Muhimu kusikilizana na kusaidiana kubeba mizigo yetu.
Shida ni moja tu 64Bits, mtu anapokuwa na tendency ya kulalamika kila siku, haishi kuumwa leo hapa kesho pale...ni tatizo sana hilo sababu mwisho huwezi jua kweli huyu ni mgonjwa au ni malalamiko ya kila siku. Mimi nadhani, kama sio mtu wa kulalamika ni rahisi kuwa serious nae, kama sio mtu wa kudeka ovyo (sio ile ya kimahaba) ni rahisi sana....
Lakini pia ni kweli kuwa most vidume hatujali kabisa...
 
Last edited by a moderator:
hivi umeshindwa kuongea nae hadi unapost udhaifu wa mume wako humu!:what:😉 nakushauri uachane nae hakujali.....hakufai....uje kwangu uone ntakavyokujali😀😀
 
Unaona sasa, mtoa mada analalama kuwa akisema anaumwa haulizwi unaumwa nini. Hapa communication skills ndio issue. Hata sie uko kazini unapigiwa simu na dada anakuambia mtoto analia sana. Unauliza umempa chakula saa ngapi? Ulibadilisha diaper saa ngapi? Hebu iangalie tena. Ulimpa maji ya kunywa? Ana homa? Ametapika? Mwisho wa siku unagundua ana usingizi. Unamuambia lala nae kitandani. Baada ya nusu saa ukipiga simu unaambiwa amelala.

Sasa wewe unaambiwa kuna shida home unakurupuka unaenda. Huulizi una shida gani? Nini kimetokea? Damu imemwagika hadi sakafuni? Unaskia kizunguzungu? Ukionyesha upendo maisha yanakuwa marahisi kuliko unavyodhani. Upendo unarahisisha maisha kaka, jiachie ufurahi.
Tena hawa wenzetu wakiugua utafikiri roho inakaribia kutoka . Lkn wanaume wasiojali ni vizuri wajifunze sio kusingizia sijui mtu akipendwa anadeka haifai.
 
Aaah poleee eeenh.. hakujulii huyo inaonekana wa mkoa uleee,, mwanamke ni wakumfanyia mema ili akufae siku zote
 
Back
Top Bottom