Wanaume wa hivi ni hovyo

Wanaume wa hivi ni hovyo

Sana. It would be nice though if ur partner could reciprocate mapenzi especially mtu akiwa down for whatever reason. Inazidisha mapenzi

Hulka na background ya mtu pia inachangia. Watu wengine they simply dont show concern unless the issue is serious. Huenda malezi au past yake imechangia, au ana sababu zake. Ila cha msingi ni kumjua mtu wako, na kufikia consensus naye.

Honestly, sometimes mtu anakuja kulalamika kwako, unamsikiliza na kumbembeleza ila unajiuliza....."Really? This?" Ndo mapenzi, inabidi kufanya vitu visivyoshahibiana na ubongo wako ili mwenzio aridhike.
 
Haya mambo yanatokana zaidi na malezi. Mwenza aliekulia kwenye familia ambayo hakuna anaemjali mwingine na kila mmoja anajihudumia kama wanyama msituni, hawezi kuona umuhimu wa kujali na hata hagundui kwamba yeye amehudumiwa kwa upendo.

Una wajibu wa kumsaidia kubadilika. Ukiumwa asipouliza unaunwa nini muambie gently hujaonyesha kunijali. Muambie naomba chai, naomba unipeleke hospitali etc. Muda unavyozidi kwenda atajigundua na kuanza kufanya bila kuombwa. Ila kama wewe ni mtu wa kujali sana matendo ya upendo, usiolewe na mtu mwenye social status tofauti na yako. Utaishia kudekea waume ama wake wa majirani zako afu itakuwa mbaya.

ha ha ha mama kuna mtu ukimwambia hujaonesha kunijali atakwambia unajiendekeza!kuna wa ile dizain umelala unaumwa basi hata kukujulia hali unaendeleaje hamna na ole wako uulize wewe ndo mkorofi!social status zinazoendana ni muhimu kwa kweli!
 
​ukiwa unadeka deka sana hata mtu hakuchukulii serious
 
kinachowaponza wanawake ni tabia yao ya kudeka deka kama watoto wachanga..hasa wakijua kuwa unampenda na kumjali sana yaani atakufanya robotic machine..unaeza pigiwa simu kazini kuwa nyumbani kuna matatizo na ukaaga ukija resi unakuta kumbe mtu kajikata na kisu kidoleni wakati akikata kitunguu jikoni..unampa huduma ya kwanza huku unajisemea kimoyo moyo " sasa hili nalo ni la kuitwa mimi kutoka kazini au biasharani..?"....
Mtiririko wa matukio kama haya ndio yanayofanya muda mwingine tuwe tunawapuuzia hata kama mpo siriazi....lazima mtambue kuwa japo tunawapenda na kuwajali lakini vile vile na sisi huwa tumetingwa na makazi mengi na kupata uchovu wa ajabu...na tukipata nafasi ya kupumzisha mwili huwa tunapumzika....kama ukijihisi kichwa kinauma chukua panadol umeze na maumivu yakizidi ndio uniamshe...sawaaa...??

kikulachochako nimeipenda hiyo instraction
 
Wanawake ni complex sana...kuna watu wanajitoa kujali hadi basi.matokeo yake ndio BAADHI ya wanawake wamepata mteremko kila siku atajifanya mara kichwa mara tumbo na huo ndo ugonjwa wao mkubwa hasa wakipata mume anaejua kucare na hasa kama mume anajua kupika,yani utapikilishwa weeeeee mpaka ujute ulioa nini! Kuna wengine ikifika weekend tu anajifanya "baby sijiskii vizuri" hapo mtoto wa kiume ujue kufua,kupasi,kupika juu yako all over the weekend. Cha ajabu ukishapika na kufanya usafi mtu mara dakika sifuri tu kashapona.lol
 
it makes me wonder......
 
Tatizo dogo la kiundishi linasababisha zogo na kupelekea kuharibu uzi..hapa inatakiwa busara itumike...
Kwani usipomjibu mtu aliyekujibu vibaya unapungukiwa nini...??
Grow up guys...

wakati mwingine ukiwa msomaji tu unafaidika sana
 
Swala la ubinafsi halina jinsia, ni wake kwa waume na tabia zao tu.

Mwanamke hajawahi kuridhika tangu kuumbwa kwa ulimwengu...unaweza ukamfanyia yote hayo na mengine ya ziada kwa upendo wa dhati..akikaa na mashoga zake saloon anakucheka ujinga...tena anawaambia "shosti nina msukule wangu..yaani nisikohoe kidogo tu huyu hapa...yaani nimemuweka kwenye kiganja..hasemi wala hakohoi mbele yangu...au mnabisha..??"..hapo tena ndio wewe unapigiwa simu oooh! Mwenzio hata sijielewi yaani hapa nilipo kichwa sio kichwa tumbo sio tumbo yaani ili mradi karaha tu..nipo sinza hapa saloon...basi mzee unaaga kazini kuwa umepata dharula na kukimbila sinza..unamkuta katulia tuli huku anaanza kudeka huku akiwa konyeza mashost zake kuwa mmeuona msukule wangu..??....
Dah!!...kwa ntindo huo nimeamua serikali yangu naiongoza kidikteta.....na ukakamavu ndio kauli mbiu...hutaki unapita kule..
 
Kiongozi umejiunga lini na JWTZ?
 
kuna mwanaume anaeridhika?
hata arudi umpokee umvue nguo umuogeshe ummassage...umpe pole umpikie chakula kizuri..
umlambe pu.mb.u..
umkatikie kiuno ..
ushuke umkande na Maji vuguvugu umpatie juis..
maananina bado atakuona ---- na atakengeuka tu...
 
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Back
Top Bottom