carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,273
Hivi ile Kesi ya Mume wake shangazi kule zenji imeshaisha?Nyie wa mikoani mnafikiri wanawake wote wanaojitambua hawana waume? Pateni Taarifa hiyo rasmi kuwa hao wakina mama unaowasema wanawaume zao na watoto pia!!!Mmeipata hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app