Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

Wanawaogopa kwakuwa wanajielewa, wanaume wengi wanapenda wanawake wenye akili Kama chura, ukimwambia ruka kichura chura anaruka....lakini wanawake wenye kujua hata mwanaume ana maternity ya kulea mtoto ndani nyumba hatuwataki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye namba zao anirushie nijitolee kumshughulikia mmoja kati yao, hasa huyo wa bara nitamweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom