Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

Hahahahahhahahaaaa looh

Itabaki kuwa ni ngumu sana kuwaelewa wanawake. Ishini nao kwa akili si mabavu wala mifumo wala sheria..... akili tuu utamzalisha kila mwaka atakuwa wako peke yako.....

Tafuteni wanaume wenye akili walioweza hayo...... (msiseme nimetukana mtu tafadhali).
Ila mkuu being submisive is an essential character of a woman for a marriage to work. Hawa wa kwenda jiwe kwa jiwe watabaki girlfriends tu
 
Kwa kweli inasikitisha kuona wanaume wa Dar wamewashindwa hawa walimbwende, maana ni warembo wanapitia mambo mazito ya kupigania maslahi ya watu. Kwakweli naomba muwasaidie kupunguza frastesheni angalau watuachie copy maana menopause inaonekana haipo mbali sana. Kigwangala kaishia kunywa chai.
Wanaume wa Dar tatizo khaa

View attachment 1015380View attachment 1015381View attachment 1015382View attachment 1015383
Haha haha haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wewe jamaa wewe NOUMA sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawaogopa kwakuwa wanajielewa, wanaume wengi wanapenda wanawake wenye akili Kama chura, ukimwambia ruka kichura chura anaruka....lakini wanawake wenye kujua hata mwanaume ana maternity ya kulea mtoto ndani nyumba hatuwataki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uoga wenu tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai, na papuchi haina chakula kingine zaidi ya dushe, mnapoingia ndani sheria zake anaziacha mlangoni ndani lazima afate mfumo dume atake asitake, labda uwe huyawezi mambo ya kihuni
 
Ki zygote kikikamata kuta za tumbo la Kasie basi kuanzia hapo tunaweza pata wajukuu.
Inaonekana bi mkubwa enzi zako umeshusha sana injini au ndio career girl, sasa ndoa ikianza kuyumba yumba inakuwaje?
 
Ni uoga wenu tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai, na papuchi haina chakula kingine zaidi ya dushe, mnapoingia ndani sheria zake anaziacha mlangoni ndani lazima afate mfumo dume atake asitake, labda uwe huyawezi mambo ya kihuni
Wewe uliye shupavu mbona umepita mbali? Lakini lile smile lililotoka kwa Kigwangala linaonekana lina mengi nyuma yake
 
Kwa hiyo, wanazeeka na utamu wao

Nyie wa mikoani mnafikiri wanawake wote wanaojitambua hawana waume? Pateni Taarifa hiyo rasmi kuwa hao wakina mama unaowasema wanawaume zao na watoto pia!!!Mmeipata hiyo?
 
Nyie wa mikoani mnafikiri wanawake wote wanaojitambua hawana waume? Pateni Taarifa hiyo rasmi kuwa hao wakina mama unaowasema wanawaume zao na watoto pia!!!Mmeipata hiyo?
Hao wanaume watakuwa zaidi ya wamikoani
 
Back
Top Bottom