Wanaume wa Dar punguzeni ubisho

Wanaume wa Dar punguzeni ubisho

Ukiona mwanaume amevaa ivo jijini daslam ujue ni wa kuja muulize una Xmas ngapi tokea ufike mjini? Hawana tofati na yule wa chato au kolomije!

Na ndiyo wanatusumbua hapa mjini na ushamba shamba wao.
 
Back
Top Bottom