Wanaume wa Dar punguzeni ubisho

Wanaume wa Dar punguzeni ubisho

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,475
Reaction score
4,454
[emoji19]
FB_IMG_15233016763950557.jpg
FB_IMG_15233022140016165.jpg
 
Huyo aliyajazia anaonekana kabisa kijana wa Mbeya na wachini huyo Arachuga bila chenga.
 
Hao siyo mabishoo bali ni washamba na malimbukeni hizo ni product zenu huko kolomije.
 
Ukiona mwanaume amevaa ivo jijini daslam ujue ni wa kuja muulize una Xmas ngapi tokea ufike mjini? Hawana tofati na yule wa chato au kolomije!
 
Back
Top Bottom