Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

dudumizi09

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
76
Reaction score
120
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.

Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!

Aibu iliyoje hii
 
dudumizi09

1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??
 
Last edited by a moderator:
Wewe mleta maada ni mwanaume wa wapi?
Hivi unaelewa kuwa Dar ndio Tanzania?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom