Wanaume wa Dar Karibuni mlo!..

Kwetu watu wawili tu wanashusha yote harafu maziwa mgando yanafuata.
kweli mura.. baada ya hapo ni kushika jembe au kwenda kuchunga kisha tuwauzie wanaume wa Dar wale popcorn.. teh teh
 
Aiiiiiii misi sana hiyo kitu, af pemben kuna sinia ya machungwa aiseeee hapo Niko musoma( kwangwa) duuh acha tu
 
nimekaa Dodoma mjini sijaona sampuli ya maugali hizo, labda vijijini
Ukiona hivo ujue we ni mwanaume Dar kwahyo huo msosi haukuhusu ndio maana hujauona....njoo hapa kikuyu mwisho mama naniii anapika
 
wanaume wa DSM jitokezeni na nyie mtoe misosi yenu... mnakubalije kushindwa kirahisi hivi!? haha
 
Aiiiiiii misi sana hiyo kitu, af pemben kuna sinia ya machungwa aiseeee hapo Niko musoma( kwangwa) duuh acha tu
kama uko dar mura angalia sana usije ukarudi home ukakataa msosi wa kwetu..
mosubhati charminglady anajua sana kuandaa misosi ya nguvu kama hii
 
Kuna nchi zengine hata huo ugali hawajawahi kuuona sasa sijui huko nako hali ikoje.
 
kama uko dar mura angalia sana usije ukarudi home ukakataa msosi wa kwetu..
mosubhati charminglady anajua sana kuandaa misosi ya nguvu kama hii
Mura yaan n maisha tu ya utafutaji lkn hii kitu hii siwez vunga uti sili pind nkirud home yaan ntapiga sana mura
 
Kimba litokanalo na huo ugali huwa halibunguliwi na wadudu mtu akijisaidia vichakani.

Mathalani mtu akijisaidia leo hii July litakauka sawa lakini litakuwepo hadi December na likinyeshewa mvua hiyo December linaanza kunuka upya kama la leo vile.

Na ukitaka kumeza tonge kama mboga siyo rafiki itabidi uwe unanyoosha shingo kama unakunywa gongo grade one labda unga uchanganywe na wa mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…