Wanaume wa dar hii too much

Hapo hoja nadhani sio ulegelege wa wanaume wa Dar bali ni wivu tu wa jamaa hao kwa kuona wenzao wanatumia zaidi machine kwenye idara nyingi kurahisisha mambo. Kuna wale wanaomini kwakua yeye alisoma kwa taabu ya kutembea maili nyingi kwenda shula. basi na mwanae lazima apitie mateso yaleyale japokuwa zama zimebadilika. Na pengine tafsiri ya maendeleo inatofautiana kati ya jamii moja na nyingine.
 
Mzee naona wewe ndo ulinielewa vizuri. Hawa jamaa matumizi ya machine kwao ni uleglege
 
Hii post nimeanza kuipita muda mrefu sikuielewa.

Shukrani mkuu kwa post nzuri
Aisee nimefurahi sana kwa kunielewa. Nimeona wengi hasa hawa wanaojisifu kubakia kwenye karne iliyopita hawakuelewa kabisaa.
 
Kwanini tujipe tabu na kumiza meno wakati mzungu karahisisha mambo.. Kaeni na ushamba wenu na kizugio cha uwanaume wa mkoani
 
Hao hao wa mikoani wakija hapa hawakawii kuwa mashoga, mifano mingi tu.
 
Marehemu Kaoge alizaliwa na kukulia Musoma akiitwa God kademu, baadaye alihamia Mwanza ndo baadaye akahamia Dsm. Akiwa Mwanza liishi Kirumba kwenye nyumba za mashoga, mara kadhaa akitembelew n mwlimu wke ambye ndo alimfundisha ushoga.

Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
 
hahahhah huu uzi unaishara zote za ushamba na kutokujua dunia inapoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…