Wanaume wa Dar wanashinda k/koo
Mwananyamala.....mbagala langi tatu na
Kwa mtogole
Mambo ya shamba watayaweza wapi?
Kutwa kubishania Simba na yanga kama kaka yenu MANARA
Wanaume wa Dar wanashinda k/koo
Mwananyamala.....mbagala langi tatu na
Kwa mtogole
Mambo ya shamba watayaweza wapi?
Kutwa kubishania Simba na yanga kama kaka yenu MANARA
hahahahahhaaa after all wanapendeza na kufanya mambi yao na hukuti siku anakuambia ana dhiki sasa wewe kutoka mkoa fata nyayo lazima urudi kwenuWanaume wa Dar wanashinda k/koo
Mwananyamala.....mbagala langi tatu na
Kwa mtogole
Mambo ya shamba watayaweza wapi?
Kutwa kubishania Simba na yanga kama kaka yenu MANARA
Mbona una muandiko mlaini sana aisee,isije ikawa nachart na chakula hapaTunakula ugali wa matama
Maziwa mgando
Kisanvu na nswalu au sansa zilizungwa karanga
Hayo mafuta yenu ya korie hukohuko dalisalama
Hivi nyie wa mikoani mtaacha lini ushamba
Kua mkweli dar kuna mshamba kama huyo?ukiangalia vizuri huyo ni msukuma au mnyakusyaWanaume wa Dar wana laana!![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
Mbona una muandiko mlaini sana aisee,isije ikawa nachart na chakula hapa
Ona ulivyokuwa mshamba.Mkuu ukifika huku
Ugali wa mtama hakuna ubwabwa, wali, biliani wala pilau.... Hakuna chips yai huku...fully asilia
Mziwa mgando, matembele, kisanvu, swalu, sansa viungo karanga sio korie
Mlenda kwa mbali na ngogwe....mwanamke hatarudi dalisama jinsi ndoa inavoimarika
Ona ulivyokuwa mshamba.
DAR KUNA MASHAMBA YA MPUNGA?
Si ninyi ndo mnaongoza kulima MPUNGA huko.
Unaijua jinsia yangu?Mkuu tunajivunia nguvu na ujasili
Kuwalisha nyinyi na bwana zenu wa chips yai...
Tupongezeni basi... Mgekufa njaa nyinyi na hao wa goli moja hoi
Unaijua jinsia yangu?
Sasa unavyosema wanaume wa dar. Tunakula tu ubwabwa na chips.Tafakali comments zako zipo kijikejike
Mwanaume hawezi shangaa mpunga kutoka shambani....ila wa Dalisalama maana saloon ndo kwao
Sasa unavyosema wanaume wa dar. Tunakula tu ubwabwa na chips.
Huko mikoani mnakula mawe?
wakati huko ndo mpunga mnalima.
Mara ya mwisho wewe kula ubwabwa ni lini?adolay said: ↑
Mkuu ukifika huku
Ugali wa mtama hakuna ubwabwa, wali, biliani wala pilau.... Hakuna chips yai huku...fully asilia
Maziwa mgando, matembele, kisanvu, swalu, sansa viungo karanga sio korie
Mlenda kwa mbali na ngogwe....mwanamke hatarudi dalisama jinsi ndoa inavoimarika
Kweli macho ya Tanzania yote ni hapa dar tu.
Sasa kama hili tu kwenu ni maajabu.
Basi kila siku itabaki kuwa,
Wa mwisho ni wa mikoani na wa mikoani ndio wamwisho.
kujichubua na juice wapi na wapi mkuu, mbona unakimbia madaWacha mkuu ndo mnarahisha kazi mpaka kujichubuwa kwa technology lengo nini hasa wanaume wa Dalisalama?
Mara ya mwisho wewe kula ubwabwa ni lini?
kujichubua na juice wapi na wapi mkuu, mbona unakimbia mada
Wee ulitaka wafanyejeTena wanakamuliwa na ndimu au limao,mahindi wanakula kwa ndimu na chumvi ndo maana moja ya gazeti limesema uzazi shida huko.