ndoa yake na mumewe tenaHuo muda anaoutumia kunyanyua vyuma, akiutumia kujifunza kupika...hakika ndoa yake na mumewe itadumu sana
Huyo ni ww?Hahaha Kweli vyuma vimekaza !! Wanaume mna la kuongeza hapo?
Huyo ni Mwanaume nusu aliyevaa mchuchumioHuyo ni ww?
Huyu sio Jerry Millo?
Duh nimecheka adi nimetapikaHapana huyu ni wa mkoani dizaini ya akina baraka de prince, wamekuja Dar juzi juzi tu hapa hata mitaa bado hawaijui vizuri [emoji16]
Ni upuuzinimeona hiyo picha insta sijaelewa kulikuwa na haja gani wa kutumia mwanaume kwenye hilo tangazo.