Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi
Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi tulikuwa kwenye Ka-bar maeneo ya home, watu wanakamata supu na kupata mojamoja, mara akaingia jamaa na kuagiza kavaluer nakuanza kunywa kwa fujo, Rafiki yake akaingia na kumuuliza kwa sauti "vipi mtalaam una kazi nini,mbona asubuhi asubuhi?" jamaa akajibu "kamanda we subiri hapohapo"
Baada ya kama dakika kumi akaingia dada mmoja wa haja yaani kama ni namba nane basi ni ile ya ukweli, mara ka-bar chote kakawa kimya na kila mtu akawa anamkodolea macho Yule mdada. Mdada akaenda straight kwa jamaa anayekunjwa Kivaluer na kuchukua fedha na kisha akatoka huku akimwambia jamaa saa saba utanikuta kule.
Baada ya Yule dada kutoka tu ka Bar chote kakaripuka na maongezi wakimshauri Yule jamaa,
"huyo unatakiwa umpigie KOnyagi kubwa, hapana hiyohiyo valuer na redbull, yaani mimi nikimpata nampigia kitimoto nusu na Valuer mbili, ahaaa mambo yote mchuzi wa pweza na Korosho, ahaa mimi ningepiga safari mix Konyagi"
NIKABAKI NAJIULIZA HIVI KWELI WANAUME HAWANA TENA UWEZO WA KUSIMAMIA KUCHA NA KUMRIDHISHA MWANAMKE BILA BUSTER YA AINA YOYOTE? HIVI UWEZO UMEPOTEA KIASI HICHO AMA NI NINI KINACHOTAFUTWA?

Ina maana kama huna hamu ya kitu si uachane nacho? Hadi uingie gharama ya appetizer sex ni kitu special sema watu washachakachua imekuwa ovyoooooooo; sasa mapenzi gani hayo? Mptuuu ovyoooo
Lakini na idadi ya Waganga wenye dawa za nguvu za kiume nao wanazidi kuongezeka
ili iweje? Mi hata sina hicho kitu mwenziona wewe lazima nikunywee supu ya pweza.
Tatizo ni kwamba, WANAWAKE uwezo wao umeshuka sana.
Wanawake wa zamani walikuwa hawachukui muda kufika, lakini siku hizi wamekuwa Sugu sana hii ni kutokana na kushuka kwa maadili,
Utamkuta mtoto wa kike ameanza na umri wa mikaka 12 sasa mpaka kufika umri wa mikaka 30 ufanye kazi ya ziada kumfikisha.
Lazima ijulikane kuwa kazi ya kufika kilele ni kazi ya wote, sio wewe ubweteke umsubiri mwanaume akufikishe,
Tafakari, Chukua Hatua.
nashindwa kuunganisha point, yaani kukomoa mpaka uchanganye madawa (booster), hawawezi kukoka hivhivi ama uwezo hakuna?
ur real man.
mwanaume kukubali kosa /fault yake inakuwa kaz sana ..wachache sana wanaoadmit yes mi ndo tatizo..sor au wat to do now..lakin weng wao ahh mtabshana usku kucha..ata km ukimkuta juu ya kinena cha mwanamke mwngne anaweza akakwambia we ndo tatizo ..sasa kwanini aukusema km unarudi saa hizi?ungenambia usingemkuta uyu...
so kaka tatizo la wanaume kutokuwa na nguvu/mtarimbodoro CHANZO NI WANAWAKE?...Duhh i kali kwakweli
kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?tatizo ni kwamba, wanawake uwezo wao umeshuka sana.
Wanawake wa zamani walikuwa hawachukui muda kufika, lakini siku hizi wamekuwa sugu sana hii ni kutokana na kushuka kwa maadili,
utamkuta mtoto wa kike ameanza na umri wa mikaka 12 sasa mpaka kufika umri wa mikaka 30 ufanye kazi ya ziada kumfikisha.
Lazima ijulikane kuwa kazi ya kufika kilele ni kazi ya wote, sio wewe ubweteke umsubiri mwanaume akufikishe,
tafakari, chukua hatua.
kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?