Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Maisha hayatabiriki, chochote atakacho kupatia mungu hilo ndilo fungu lako
HakikaMi nafikiri kujilinganisha sana na watu wengine kunaweza kumpelekea mtu kukata tamaa, maendeleo ya kweli hupimwa kwa kuilingnisha jana na leo yako. Hakuna kanuni maalumu ya mafanikio.
😁😁Uzi ufungwe hapa..watu siku izi kila mtu anakuja na philosophy zake aisee.yani kila mtu siku izi ni motiveshino speeker.akishashiba ugali anaona sasa atoe ushauri kwa watu.
Tumechoka kusikia ushauri kila mtu afanye analoona ni sahihi kwake .
Kwanza hapa duniani ni mara yetu ya kwanza kuishi..
Nimeipenda hiiMi nafikiri kujilinganisha sana na watu wengine kunaweza kumpelekea mtu kukata tamaa, maendeleo ya kweli hupimwa kwa kuilingnisha jana na leo yako. Hakuna kanuni maalumu ya mafanikio.