Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

Wanaume vicheche wanaoa wanawake watulivu, ukikuta mwanamke mcharuko mumewe huwa ni mpole sana,

Ingekuwa hivyo unavyosema kesi za ndoa zisingekuwa nyingi, kicheche aoe malaya, mwanaume mkali aoe mwanamke mkali nyumba isingekalika
Ofcourse kuna law ya opposites sawa nakubali. Ila tukumbuke we attract that which we are on the subconscious level.

Ndo maana nikasema ili upate mke mzuri lazima kwanza uishi hayo maisha unayo taka kuona kwa mwenza wako. We have a tendency to shape others by what we do.

Wengi walio malaya husababisha we za wao pia kuwa malaya
 
Uzi ufungwe hapa..watu siku izi kila mtu anakuja na philosophy zake aisee.yani kila mtu siku izi ni motiveshino speeker.akishashiba ugali anaona sasa atoe ushauri kwa watu.
Tumechoka kusikia ushauri kila mtu afanye analoona ni sahihi kwake .
Kwanza hapa duniani ni mara yetu ya kwanza kuishi..
Ukweli ni kuwa watu hutaka kile ambacho hawana the universe never grants them
 
Ndiyo na hapana. Kauli hiyo ina chembe ya ukweli, lakini si sheria ya maisha.
Mara nyingi, tabia, maamuzi na viwango vya mtu huathiri aina ya mwenza anayemvutia au anayemkubali. Kwa mfano, mwanaume mwenye heshima, uwajibikaji na mawasiliano mazuri ana uwezekano mkubwa wa kujenga uhusiano mzuri na kupata mwenza mwenye sifa zinazofanana.
Hata hivyo, si kila wakati mke atakuwa "reflection" yako. Watu wanaweza kutofautiana sana katika tabia, malezi, malengo na changamoto za maisha. Mwanaume mzuri anaweza kuoa mwanamke mwenye mapungufu makubwa, na vivyo hivyo.
 
Hoja zako huwa zina mapepe ndio maana matibabu lazima yaanzie kwenye personality yako bwashee
In short ni kuwa wewe unashida zako binafsi hoja zangu huwa ziko soo direct. Watu badala ya kuleta hoja wanakuwa triggered.
 
Ndiyo na hapana. Kauli hiyo ina chembe ya ukweli, lakini si sheria ya maisha.
Mara nyingi, tabia, maamuzi na viwango vya mtu huathiri aina ya mwenza anayemvutia au anayemkubali. Kwa mfano, mwanaume mwenye heshima, uwajibikaji na mawasiliano mazuri ana uwezekano mkubwa wa kujenga uhusiano mzuri na kupata mwenza mwenye sifa zinazofanana.
Hata hivyo, si kila wakati mke atakuwa "reflection" yako. Watu wanaweza kutofautiana sana katika tabia, malezi, malengo na changamoto za maisha. Mwanaume mzuri anaweza kuoa mwanamke mwenye mapungufu makubwa, na vivyo hivyo.
Ni kweli ila as we know lazima kuna disconnect itatokea eventually...

Na hapo ndo mzizi wa fitna.

Kama kwenye attraction level hakuzingatia tabia za mwanamke lazima atajutia maamuzi na kuachana nae.

Ukiona bado anamganda it means kuna kitu ndani yake kinamfanya awe bonded kwakena hasa hasa it has something to do with trauma.
 
You're soo judgemental bwashee all you do is try put someone in a box they don't belong
Mlango wa kuku attack ni wewe ulifungulia bila kujielewa kama umefungua na hapa utabisha kuwa haukufungua😆

Mimi nakuonyesh tu kitu
 
Back
Top Bottom