Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

Mlango wa kuku attack ni wewe ulifungulia bila kujielewa kama umefungua na hapa utabisha kuwa haukufungua😆

Mimi nakuonyesh tu kitu
I know I know

Na mimi nitajitahidi sana kuplay safe this time maana yalivyo nikuta
 
Ukiona bado anamganda it means kuna kitu ndani yake kinamfanya awe bonded kwakena hasa hasa it has something to do with trauma.
Ukichagua mwenza kwa attraction pekee bila kuzingatia tabia, kuna uwezekano wa majuto baadaye. Lakini mtu kubaki kwenye uhusiano wenye matatizo si lazima iwe trauma bond kila wakati. Sababu zinaweza kuwa upendo, matumaini ya mabadiliko, watoto, utegemezi wa kihisia au kifedha, au trauma yenyewe. Trauma ni sababu mojawapo, si sababu pekee.
 
Yah I get you...
It's a bit complex ila yote kwa yote ni kuishi maisha unayotaka mwenzako aku treat. It pays off mostly
 
Yah I get you...
It's a bit complex ila yote kwa yote ni kuishi maisha unayotaka mwenzako aku treat. It pays off mostly
Ndiyo, kwa kiasi kikubwa hilo ni wazo zuri. Kuishi kwa maadili, heshima na namna unavyotamani kutendewa huongeza nafasi ya kuvutia na kujenga uhusiano wenye afya.
Hata hivyo, si "guarantee". Unaweza kufanya mambo yote vizuri na bado ukakutana na changamoto za mahusiano. Lakini kwa ujumla, kuwekeza katika kujijenga kwanza mara nyingi hulipa matokeo mazuri kwa muda mrefu.
Kwa kifupi: kuwa aina ya mwenza unayetamani kumpata ni msingi mzuri, ingawa si dhamana ya kupata uhusiano mkamilifu.
 
Agreed 🤝
 
Ni kweli kabisa energy haidanganyi unapata wa kufanana nawe,ndio maana kama unaomba mtu safi na mtulivu ,inatakiwa uwe honest kuanzia wewe mwenyewe kama una tabia mbovu hupatii
Naamin kabisa
 
Ni kweli kabisa energy haidanganyi unapata wa kufanana nawe,ndio maana kama unaomba mtu safi na mtulivu ,inatakiwa uwe honest kuanzia wewe mwenyewe kama una tabia mbovu hupatii
Naamin kabisa
Hakika... Sema binadamu ni watu wabishi sana.
 
Haya mambo ya kiroho yangefundishwa mapema ingekuwa vyema ,vitu vingi ni kweli 💯
Na specifically sio kiroho kwa dhana ya kidini.... Ni uhalisia wa kisaikolojia. Sema kwa sababu binadamu anapenda Kujipa umuhimu na kukua ego sana... Ila ukweli hujulikana baadae sana akishajizeekea na kutambua ni ujinga tu alikuwa anafanya
 
According to the laws of attraction, we are what we think.

Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously.

Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at his or her core. Ukizaliwa mazingira yenye umaskini kuna likelihood kubwa ya wewe kuwa maskini kwa sababu Uta adapt tabia za kimaskini.

Na kama tujuavyo behavior are built by repetition and not intelligence thus, hata usome vipi bado kuna zile elements mama ambazo zitatawala maisha yako bila ya wewe kujua na Uta attract people, places and things ambazo zita reflect core beliefs zako ambazo ziko embedded in the subconscious mind.

OK, hiyo ilikuwa intro, Twende kwenye mada.

Kumekuwa na kasumba kubwa sana ya watu hasa wanaume kulia lia baada ya kupigwa matukio na we za wao. Unakuta mwanaume anasema alidhani kapata kumbe alipatikana. Ya kuwa mwanamke aliyedhani anafaa kamcheat, au kabadilika na kuwa toxic.

Niwaambie tu, ukweli ya kuwa the universe gives what you deserve and not what you want. If you're a cheater utachapiwa pia...

Ukiangalia hata kwenye jamii watu wenye wake walotulia ni wale ambao na wao wametulia. Huwezi kuta mke wa mtu anayejielewa anaruka ruka mtaani. Ni nadra sana na hata ikitokea sio coincidence. Kuna namna tu huyo jamaa ana act kinamna fulani ila Kuna vitu vya ovyo anafanya.

If you really want a faithful and loyal partner inabidi ianzie kwako.

Are you seeing yourself as loyal to yourself first? Do you live your words?

The energy never lies.

angalieni couples maarufu duniani ambazo zime sustain! Unakuta kabisa mwanaume ambaye ndo leader anakuwa mtu asiye na drama. Kama ni mwajiriwa kazini hana mazoea ya kidwanzi, ni mtu anayemwongelea mke wake na familia yake. Ni mtu asiyependa kujumuika na wanaume wapenda chini anaweza kuwa mtu wa starehe ila ni kheri akaifanya na familia yake kuliko mashangingi ya town.

Na hii sio kwamba yeye ni mtakatifu, ila amekuwa kifikra kutambua kuwa starehe iliyo bora na yenye manufaa both kwa ajili ya well being and progress kimaisha ni ile itokayo kwa familia sio watu baki wenye msalaba yao pia.

Hivyo basi wanaume inabidi tuanze sisi wenyewe kujitathmini na kuishi maisha tupendayo we zi wetu wayaishi. Lasivyo vilio na matukio yatabaki kuwa constant.

Ni hayo tu,
Morning wisdom... Day one1
Sio kweli, watu ninao wafaham malaya na watu wa mitungi, wamebahatika kupata wanawake wapole, watulivu na washika dini kweli,hii research yako kamba.

Hamna sehemu ambayo wanaume wale malaya na watu wa mitungi, hutuliza vichwa kama wakiwa wanatafuta mtu wa kumuoa na mara nyingi hawakosei
 
Huo utafiti ni batili...
Hao wanawake sio mpaka waone lane vilabuni kuna namna tabia zao zitaakisi tabia za waume zao
 
Huo utafiti ni batili...
Hao wanawake sio mpaka waone lane vilabuni kuna namna tabia zao zitaakisi tabia za waume zao
Huu ni ukweli nilio ushuhudia,kwenye makuzi yangu, sehemu nilizofanyia kazi na nilizokaa.

Halafu sasa kuna wale wanaume wapole, wakimya yaani watu fulani wastaraabu, wanawake wanawavuruga kweli kweli.
 
Huu ni ukweli nilio ushuhudia,kwenye makuzi yangu, sehemu nilizofanyia kazi na nilizokaa.

Halafu sasa kuna wale wanaume wapole, wakimya yaani watu fulani wastaraabu, wanawake wanawavuruga kweli kweli.
That's not how it may seem

Kuna shadow aspects za hao wapole ku attract the opposites. Yaani wengi wao huwa na attraction kwa kile kitu walicho miss toka kwa wazazi wao... Na subconsciously huwa wana attract mtu mwenye tabia za mama au baba depending on who influenced majority of their lives
 
Back
Top Bottom