Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Aiseeee kumbe wanaume n viumbe dhaifu sn, hahahahaha ukute ht magu pamoja na ubabe wake kwa watz alishawai pigwa na dem enzi hzo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii thread nzur sn nataman iendelee comment zote nmesoma, hatareeee sn
 
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
Huyo mbona ni kama niliekua nae saa hizi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yani nimecheka na kushangaa juu. Hivi mwanaume unapigwaje na mwanamke? Nilivyo muoga jamani siku nitakayokuja kutiwa hata kibao wallah ntaenda fungua kesi.. kwanza kwanini mpigane mtoane ngeu bure si muachane kwa amani tu?
 
In short watu wa kanda ya ziwa wana gubu sana...
Hahahahaha,msituseme bwana wengine ndo tushafunga mikataba huko.
Hivi inakuaje mwanamke anampiga mmewe.Najaribu kuimaigine naona giza tu hata sipati picha.
Kuishi na mwanake mgomvi ni hatari hata bibilia inasema"ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika ,kuliko na mwanamke mgomvi,mchokozi.
 
na je mwanamme kumdunda mkewe nayo unaionaje??maan huko mnasahau pia we unaonaje kumdunda mkeo??ukiona sawa bas na sie sawa tu,,,nawapongezaga wanawake wa kenya dadek
 
Mimi nilikuwa Na mchaga mmoja akaniomba hela ya sikukuu katikati ya mgegedo halafu kibo naiona hii hapa nikamwambia sina akaning'ata dah nikashuka chini kabisa
Sitasahau pigo hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii
 
na je mwanamme kumdunda mkewe nayo unaionaje??maan huko mnasahau pia we unaonaje kumdunda mkeo??ukiona sawa bas na sie sawa tu,,,nawapongezaga wanawake wa kenya dadek
Sipendi wanandoa wapigane,yani bora mkipishana kauli muongee tu bila ndondi.Tena huwa naumia sana mwanamke kupigwa na mmewe.Bora tu mwanaume apigwe ingawaje wanawake ndo wanapigwa kuliko wanaume.
 
Sipendi wanandoa wapigane,yani bora mkipishana kauli muongee tu bila ndondi.Tena huwa naumia sana mwanamke kupigwa na mmewe.Bora tu mwanaume apigwe ingawaje wanawake ndo wanapigwa kuliko wanaume.
ndoa zingine ni majanga wanaume anahamshiwa dudee halafu inakuwa siri ya ndani
 
Sipendi wanandoa wapigane,yani bora mkipishana kauli muongee tu bila ndondi.Tena huwa naumia sana mwanamke kupigwa na mmewe.Bora tu mwanaume apigwe ingawaje wanawake ndo wanapigwa kuliko wanaume.

sure bora mtengane aic maisha ya kupigwa hayavumiliki ila kuna watu wanapigwa na bado wamo tu SIPENDI KABISA KUFUJWA AIC ,POLENI MNAOFUJWA KWAKWELI
 
Sipendi wanandoa wapigane,yani bora mkipishana kauli muongee tu bila ndondi.Tena huwa naumia sana mwanamke kupigwa na mmewe.Bora tu mwanaume apigwe ingawaje wanawake ndo wanapigwa kuliko wanaume.

sure bora mtengane,ila bado kuna wanawake wanapigwa na bado wamo tu,ufujaji wa namna hii hauvumiliki aic,poleni mnaofujwa
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada

Huyo ndio mwenyewe sasa,mi dem akiwa mtata ndio nampenda kwa sana,huyo usingemwoa angekutana na mimi tungekuwa tumematch kinyama,ukitaka kumuacha niPM mkuu nijichukulie chaguo langu halisia
 
Back
Top Bottom