Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Hahahaaaaaaa! Ciello tafuta public image expert krepir damage ya EMT maana kaamua! Uju kuna 2 things hapa tunabishania! Kuna kulala na mtu 1 night stand coz tu kuna vitu umevimind na ni out of curiousty tu! Mostly inakuwa for sex purposes! Tena si endelevu ni ya kuonjana tu! Ila kuna standards inabidi mtu kuzifikia ili uweze kuwa na going concern nae! Yaani hapo sio ishu ya moyo tu!!!!!! Ni moyo, jamii, kichwa, dini na makila kitu! Sasa kwenye standars hizo SURAAA muhimu! Upo hapo?

Standard ya sura as a going concern?

Otherwise, Remmy Ongala angekuwa single mpaka alipotutoka.

Women have unrealistic expectations of men.

But their check-list changes when they reach middle age

A wish list cast in stone is never going to lead to lasting happiness.

Be honest with me. Do you have, in either a secret notebook or stored somewhere in the filing cabinet of your mind, a check-list for the man of your dreams?

We all know how girls have ridiculous expectations when it comes to finding a husband.

You will know this when you meet them later after they have become women and got married.

But the problem we are having now is that not only many men are turning back into boys, but also many women are increasingly becoming girls.
 
Hayo matatoo na mapaint ndio uzuri?
Aisee mimi nadefine uzuri as a total package na sio muonekano wa sura au six pack thing. Kwangu mzuri ni Yule anaye yafanya mahusiano yetu kuwa the beautful thing in the world.
Kaunga big up umenena shosti wangu.

hapa watu wanataka kutuonyesha sijui mwanaume mweupe wa sura na tatoo basi ndo uzuri. mbona huyu anaonekana ni msanii tu wa huko america?? kujichora huko ni kawaida yao kama sehem ya kuvutia wateja lkn hakuja mfanya kuwa mzuri.

istoshe uzuri wa mtu uko suran tu?? kama ndivyo baasi wengi wetu ni wabaya lol! ila naamin uzuri ni package ama uliyosema na ni ile ambayo kwakuwa nayo inafanya maisha yako yawe na furaha.

leo hii ukiniuliza kwann umeolewa na gy nitakwambia kwasababu ndie mwaname mzuri kuliko wote. ila si kweli kwamba yeye ndiye mzuri kuliko wote bali yye amewazidi wenzie kwa kuwa anapossess ile package niliyoitaka na hivyo kunifanya niwe na furaha.
 
Last edited by a moderator:
bahati nzuri nikisha kula natupa kapuni na ku4get.....semina ijayo atapata chance ya one nit stand kipanga mwingine...no repitition....
"Yeah [especially when] the guy [is] hot kichwan yuko vizuri.... nikamtamani [na mka]kaenjoy miujiza ya Mungu...it [will be] awesome 4sure" Emphasis added.
 
We si unaona ulivyotoa komplimentari pasipo The Boss kutoa jasho.
Unafikiri sie tuliokaukiwa PM mwezi huu tunajisikiaje.
Nitamroga mtu mpaka panya wa nyumbani kwake!!

mdogo wangu mbona bado wewe ni mzuri sana zaid hata ya huyu hapa kwenye bandiko?
unakila kitu ambacho mwanamke yyte mwenye kumjua mwanaume atapenda kuolewa nae.
unajiamini, unaakili zote(darasani +zakuzaliwa), unajua kupenda, si mwepesi wa hasira, ni mtu wa msimamo, mchapa kazi, sio bahili(hapa najua kuna watakaoa liona hiali tu), ni mwanaume wa shoka atii nakumbuka siku ulipozaliwa baba alisema amepata dume la mbegu la kuongeza ukoo lol!
 
naona kaniamulia si nilimfikisha nchi ya ahadi....anataka kurepeat while 4m it was just sex out of curiosity...

Really? "It was just sex out of curiosity"? What curiosity were you looking for?

You told us in that exclusive interview that "the guy was hot kichwan yuko vizuri dah nikamtaman.."

Kwa maana hiyo basi you did not have sex with him out of curiosity.

Rather, you had sex with him because "ulimtamani" as "he was hot kichwani". Sawa?
 
Standard ya sura as a going concern?

Otherwise, Remmy Ongala angekuwa single mpaka alipotutoka.

Women have unrealistic expectations of men.

But their check-list changes when they reach middle age

A wish list cast in stone is never going to lead to lasting happiness.

Be honest with me. Do you have, in either a secret notebook or stored somewhere in the filing cabinet of your mind, a check-list for the man of your dreams?

We all know how girls have ridiculous expectations when it comes to finding a husband.

You will know this when you meet them later after they have become women and got married.

But the problem we are having now is that not only many men are turning back into boys, but also many women are increasingly becoming girls.

Until now nadhani ushagundua i aint like other women! Ofcourse i have my standards! Mimi kuna tabia siendani nazo kabisaaaaa kama Ubahili! Sasa asivofikia expectations zangu nikikubali anioe hatutodumu! I want what i want and i have to get it! I never lower my standards! I dont fancy lying to myself!

Ofcourse SURAA ni muhimu sana sanaa kwangu coz siwezi kuwa na mtu i am ashamed of! Hata raha ya kumtambulisha kwa watu sina!!! Leave alone wasiwasi watoto watafuata kwa nani! Akhaaaaaa! Sura muhimu sanaa na urefu pia! I do have a thingy for Good Genetics!
 
nashukuru kwamba haya umesema wewe ningesema mie ningeambiwa mpingaji.

ukweli ni kwamba women marry when a man wants to marry her. and it depends at what time does a man have proposed, and how fast/soon the girl wants to marry.

let me tell you broda, mwanamke atachagua kwa mbwembwe akiwa at teens but akishafika early twenties hapo hana muda wa kuchagua tena sura bali waliobahatika huchagua kwa hekima sana na wasiobahatika huishia kuchagua aliyekuja basi.
 
mdogo wangu mbona bado wewe ni mzuri sana zaid hata ya huyu hapa kwenye bandiko?
unakila kitu ambacho mwanamke yyte mwenye kumjua mwanaume atapenda kuolewa nae.
unajiamini, unaakili zote(darasani +zakuzaliwa), unajua kupenda, si mwepesi wa hasira, ni mtu wa msimamo, mchapa kazi, sio bahili(hapa najua kuna watakaoa liona hiali tu), ni mwanaume wa shoka atii nakumbuka siku ulipozaliwa baba alisema amepata dume la mbegu la kuongeza ukoo lol!

Dada bana utapasua kichwa changu bure kwa makoplimenti.
Halafu kama barka vile kuna sms kwenye mchina wangu imeingia.........softiiiiiiii!
 
Really? "It was just sex out of curiosity"? What curiosity were you looking for?

You told us in that exclusive interview that "the guy was hot kichwan yuko vizuri dah nikamtaman.."

Kwa maana hiyo basi you did not have sex with him out of curiosity.

Rather, you had sex with him because "ulimtamani" as "he was hot kichwani". Sawa?

Curiousty how does he taste in bed! How quick does he mannuver his moves! If somebody has somethin special in ordinary life, he must be special in Bed too!

The urge to prove he si special is unconqurable! I can understand a sister wanting the piece of his Glory!
 
leo hii ukiniuliza kwann umeolewa na gy nitakwambia kwasababu ndie mwaname mzuri kuliko wote. ila si kweli kwamba yeye ndiye mzuri kuliko wote bali yye amewazidi wenzie kwa kuwa anapossess ile package niliyoitaka na hivyo kunifanya niwe na furaha.

Tell them Madame. Beauty is in the eye of the beholder.

And, also important, don't judge a book by its cover.

Read it in detail; not only the abstract, the introduction and the conclusion.

Examine it in detail to find out if it has been plagiarised.
 
Until now nadhani ushagundua i aint like other women! Ofcourse i have my standards! Mimi kuna tabia siendani nazo kabisaaaaa kama Ubahili! Sasa asivofikia expectations zangu nikikubali anioe hatutodumu! I want what i want and i have to get it! I never lower my standards! I dont fancy lying to myself!

Ofcourse SURAA ni muhimu sana sanaa kwangu coz siwezi kuwa na mtu i am ashamed of! Hata raha ya kumtambulisha kwa watu sina!!! Leave alone wasiwasi watoto watafuata kwa nani! Akhaaaaaa! Sura muhimu sanaa na urefu pia! I do have a thingy for Good Genetics!
lara 1 ngoja milage zisonge kidogo utaona kama hukupata kigugumizi pengine hata hiyo ambayo kwako ni criteria ikawa ni just minor case.

tena unaweza ukajikuta unaolewa na mtu poor kuliko wewe ila ukavutiwa na upendo wake kwako na jinsi anavyokuthamin ukaona he does deserve to be my hubby. usishangae hata mtaji ukampa wewe kisa tu mapenzi yake kwako.

nakumbuka shosti mmoja nilisoma nae chuo aliolewa na polis,nikamuuiza kwann yeye kakubali kuolewa na polisi ilihali kielimu kamzidi( binti kamzidi mume) alichonijibu ni kwamba

"jamani huyu kaka nampendea game yake tu?? huwa ananifikisha ambako sikuwa nakujua"

imagine bumu tulilokuwa tunapewa chuo kwa mwez na nusu lilikuwa jingi kuliko msahara wa mume kwa mwez, lkn binti alikomaa na hadi sasa wametoka kimaisha si matani.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

ni ngumu sana kwa wao kuelewa kwa sasa kwani bado wanaona maisha upande mmoja.
kimsingi mada za lara 1 na Ciello nazipenda sana kwani zinafungua ukurasa ambao sie tulipuuzia na kukaa kimya na kuassume kwamba wanajua ila kwa mada zao tumejua kwamba wanania ya kujifunza kujua mambo ya msingi ya maisha.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwamba haya umesema wewe ningesema mie ningeambiwa mpingaji.

ukweli ni kwamba women marry when a man wants to marry her. and it depends at what time does a man have proposed, and how fast/soon the girl wants to marry.

let me tell you broda, mwanamke atachagua kwa mbwembwe akiwa at teens but akishafika early twenties hapo hana muda wa kuchagua tena sura bali waliobahatika huchagua kwa hekima sana na wasiobahatika huishia kuchagua aliyekuja basi.

Hahahaaaaaaaaaaa! Times are changing! Suala si kuolewa ili uonekane umeolewaaa! NOOOOO! The question is are you happy? Mi mbona nimeshataka kutolewa mahari mara 2 na watu wawili tofauti nikagomaaaa! Watu wakanisemaaa kidogo waandamane! Unachezea bahati! Utajutia nafasi! Sijajuta chochote!

Wenzangu wameolewa wengine washaachika na watoto juuu, wengine mume haonekani nyumbani japo kuna some waume zao wanaeleweka ila vitombiii wa mwisho mjini hapa!
Kuliko niolewe na mtu siaridhika nae heri nizalie nyumbani tu na mwanaume niliemchagua! Ndoa makaratasi tu! Pate ushahidi! Kinachotakiwa ni FURAHA YA KWELI! Na mimi furaha yangu inaanzia kwenye Sura!!!!! I dont fancy kujidanganya kabisaaa! Kama kitu nimekichoka nimekichokaaaa! Kama mtu simpendi tena simpendi!

Nimegundua haya mambo ya ndoa si ya kwenda kwa kanuni! Moyo ukiridhika nenda! Ukisita baki! Nashangaa sana mdada anangangania aolewe? Soo what! Kama haukependi makaratasi hayabadilishi moyo wa mtu!
 
Curiousty how does he taste in bed! How quick does he mannuver his moves! If somebody has somethin special in ordinary life, he must be special in Bed too!

The urge to prove he si special is unconqurable! I can understand a sister wanting the piece of his Glory!
is this the curiosity which drives her??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mie mwanamme mzuri
ntamjulia wapi, huyo mwanamke mzuri tu naambiwa "beauty is in the eye of
the beholder".

That said, presumably, using natural symmetry to discern kuna

1. Wazuri wenye akili na heshima
2. Wazuri wenye akili wasio heshima
3. Wazuri wasio akili wenye heshima
4. Wazuri wasio akili wala heshima
5. Wabaya wenye akili na heshima
6. Wabaya wenye akili wasio heshima
7. Wabaya wasio akili wenye heshima
8. Wabaya wasio akili wala heshima

Take your pick. Mind the competition.

Na hapo hatujaongelea mlinganyo wa dada yetu wa Ohio St kuhusu mambo ya
fwedha. Kichwa kitauma!

duh!huyo hasiye na mvuto,akili na heshima!Sijui kama ataoa!
 
Until now nadhani ushagundua i aint like other women! Ofcourse i have my standards! Mimi kuna tabia siendani nazo kabisaaaaa kama Ubahili! Sasa asivofikia expectations zangu nikikubali anioe hatutodumu! I want what i want and i have to get it! I never lower my standards! I dont fancy lying to myself!

Ofcourse SURAA ni muhimu sana sanaa kwangu coz siwezi kuwa na mtu i am ashamed of! Hata raha ya kumtambulisha kwa watu sina!!! Leave alone wasiwasi watoto watafuata kwa nani! Akhaaaaaa! Sura muhimu sanaa na urefu pia! I do have a thingy for Good Genetics!

Who are the "other women" who are not like you? What exactly do you mean by "other women"?

I am not saying that you should want what you don't want. Neither am I saying that you should lower your standards.

Which means also that you should not increase your standards when you meet someone with higher standards than the ones you have set but you fall in love with him.

Surely, you're not going to marry someone mzuri kwa kigezo cha kumtambulisha kwa watu.

Otherwise, siku akimwagiwa tindikali ndiyo itakuwa mwisho wa ndoa yenu.

Because how are you to introduce him kwa watu na sura iliyoharibiwa na tindikali?

a.jpg
 
lara 1 ngoja milage zisonge kidogo utaona kama hukupata kigugumizi pengine hata hiyo ambayo kwako ni criteria ikawa ni just minor case.

tena unaweza ukajikuta unaolewa na mtu poor kuliko wewe ila ukavutiwa na upendo wake kwako na jinsi anavyokuthamin ukaona he does deserve to be my hubby. usishangae hata mtaji ukampa wewe kisa tu mapenzi yake kwako.

nakumbuka shosti mmoja nilisoma nae chuo aliolewa na polis,nikamuuiza kwann yeye kakubali kuolewa na polisi ilihali kielimu kamzidi( binti kamzidi mume) alichonijibu ni kwamba

"jamani huyu kaka nampendea game yake tu?? huwa ananifikisha ambako sikuwa nakujua"

imagine bumu tulilokuwa tunapewa chuo kwa mwez na nusu lilikuwa jingi kuliko msahara wa mume kwa mwez, lkn binti alikomaa na hadi sasa wametoka kimaisha si matani.

Ticha kama nilivokwisha sema MY QUEST IS TO SEARCH FOR HAPPINESS NOT A HUSBAND!!!!!! Trust me hata bila mume i will be as happy as possible!

Mimi natokea Liberal society ambapo maisha hayapimwi kwa kananuni rather quality ya maisha unayoishi! Mimi nina my cousin kaolewa last year 38 yrs tena kwa kubembelezwa sana na huyo mtu mzima mwenzie! Mwengine mwakani 42YRS! Ila hawa wameishi one hell of a life ujana wao! Na wana moto mmoja mmoja wa nje na mmoja wa wachumba zao! Maisha walioishi ni ya uhakika! Ukisikia best 30 yrs of ya life ndo wamezila!!!!

So mimi kwangu ishu ya mtoto tu ndo inanipa pressure hayo makaratasi sio ishu sanaa kwangu! Unaweza kuolewa in early 20s ukafujwa fujwa tu huko na mfano wa mume!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Times are changing! Suala si kuolewa ili uonekane umeolewaaa! NOOOOO! The question is are you happy? Mi mbona nimeshataka kutolewa mahari mara 2 na watu wawili tofauti nikagomaaaa! Watu wakanisemaaa kidogo waandamane! Unachezea bahati! Utajutia nafasi! Sijajuta chochote!

Wenzangu wameolewa wengine washaachika na watoto juuu, wengine mume haonekani nyumbani japo kuna some waume zao wanaeleweka ila vitombiii wa mwisho mjini hapa!
Kuliko niolewe na mtu siaridhika nae heri nizalie nyumbani tu na mwanaume niliemchagua! Ndoa makaratasi tu! Pate ushahidi! Kinachotakiwa ni FURAHA YA KWELI! Na mimi furaha yangu inaanzia kwenye Sura!!!!! I dont fancy kujidanganya kabisaaa! Kama kitu nimekichoka nimekichokaaaa! Kama mtu simpendi tena simpendi!

Nimegundua haya mambo ya ndoa si ya kwenda kwa kanuni! Moyo ukiridhika nenda! Ukisita baki! Nashangaa sana mdada anangangania aolewe? Soo what! Kama haukependi makaratasi hayabadilishi moyo wa mtu!

hivi wafikiri nani anayetengeneza ndoa makaratasi?? lara 1 vigezo mnavyotumia ili kupata mume ndivyo vinavyotengeneza hawa wanaume makaratasi.

ukitaka kuanzisha maisha na mwanaume jambo kuu na la msingi la kuangalia ni ananipenda kwa dhati?? je ananithamini?? ananijali?? kumbuka haya si lazima yawe at monetary base.

mdogo wangu lara 1 mume akiwa anapossess hayo niliyoyasema kwa kiasi kikubwa sana ndoa yako itadumu. siikatai kujaribiwa kumo ila kama nafsi imeumbwa na hayo ma3 basi atajirudi lazima.

moyo wa mtu anayependa, anayethamini na anayejali si rahisi kupotea katika uovu milele hata siku moja. sababu kubwa ni ile dhamira ya ndani yake kwamba je mm niko sahihi kupoteza upendo wangu kwa yule wa karibu yangu??

ninaamin zaid katk haya lwani hata mie dada yako nilipopita shemeji alirudi kwasababu ya upendo,thamani na kujali atatutelekeza kuteseke kwann.

all in all sali sana na toa sadaka juu ya mume wako mtarajiwa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona umekomalia sana ile one nit stand yangu??? kuna nn??? niliambiwa niwe wazi na as usual mi si mtu wa kuficha mambo....niko open sana i grew up like that....mie nilitaka kutaste the package kuverify quality kama iko full pande zotei.e inside and outside ..ili pia iweze tumika 4future referenc....na baada ya kutest nikaweka test tube pembeni na kumove to the next task....
Really? "It was just sex out of curiosity"? What curiosity were you looking for?

You told us in that exclusive interview that "the guy was hot kichwan yuko vizuri dah nikamtaman.."

Kwa maana hiyo basi you did not have sex with him out of curiosity.

Rather, you had sex with him because "ulimtamani" as "he was hot kichwani". Sawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom